Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Wakuu eti wizarani kama wizara ya fedha mshahara ni shngp wanalipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshahara wa mtumishi aina ipi hapo Wizarani? Mlinzi? Secretary? HR? n kWakuu eti wizarani kama wizara ya fedha mshahara ni shngp wanalipa
Mshahara wa muhasibu mwenye degreeMshahara wa mtumishi aina ipi hapo Wizarani? Mlinzi? Secretary? HR? n k
AiseeWakuu eti wizarani kama wizara ya fedha mshahara ni shngp wanalipa
Million 8 hio ni take home baada ya Makato, vipi una ndugu yako unataka unipige kirungu pale vizarani,?Mshahara wa muhasibu mwenye degree
Je tax specialist wa hiyo wizara ya fedha analipwa ngp
Mhhhh seriously
Kwa mshahara huu akisema amuoe mdada wa TRA mwayatajikuta ndo baba
Sijakuelewa.Kwa mshahara huu akisema amuoe mdada wa TRA mwayatajikuta ndo baba
Yeah! Kuna hadi wa laki 6 pale.Mhhhh seriously
Hao ndio wale wa 450kJe tax specialist wa hiyo wizara ya fedha analipwa ngp
Na tax specialist jeYeah! Kuna hadi wa laki 6 pale.
Wale ma cleaner wanavuta 300k
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wale wanakula 750kJe ICT officer II NHC analipwa shngp