Mishahara ya April tayari, hakika mama anaupiga mwingi

Mishahara kutoka tarehe 20 mbona ni kawaida tangu enzi za jk hasa kama mbeleni kuna sikukuu mishahara huwahi kutoka? Ila kuna taabu yake, wiki mbili unaisha na bado wiki mbili mbeleni ngumu unaenda kukakabilana nazo. Labda ni ajabu kwa sekta binafsi mshahara kutoka tarehe 20 watu wakale sikukuu
 
Ikifika tar 2 mshahara umeisha unaanza kukopa dukani kwa mangi
we ulitaka utolewe tarehe ngapi ili usiishe? Hao watumishi mzunguko wao wa siku 30 umeshafika ilikuwa uwe tar 22 ila nafikiri kwasababu ya Idd umewahi siku 2. Sasa we ulitaka mtu asisherehekee sikukuu yake kisa siku 2 na mshahara ni wa kwake? Wache watu waishi style zao wanazojua we ishi za kwako
 
Ukiona sikukuu unasherekea kwa kutegemea pesa ya mshahara kaa ujitafakari upya
 
A
Hakika mama amesikia kilio cha watumishi kwa kuwalipa mshahara mapema kabla ya sikukukuu ya eid, ama kwa hakika mama anaupiga mwingi.

Watumishi tumieni vizuri mishahara yenu na nawatakia waislamu wote sikukuu njema ya eid el fitri.
Anaupiga mwingi au ni msukumo wa Udini, mbona pasaka na krismas haikuwa hivyo?
 
Hakika mama amesikia kilio cha watumishi kwa kuwalipa mshahara mapema kabla ya sikukukuu ya eid, ama kwa hakika mama anaupiga mwingi.

Watumishi tumieni vizuri mishahara yenu na nawatakia waislamu wote sikukuu njema ya eid el fitri.
Kuna kikundi kinaandaa maandamano kumpongeza mama kesho
 
Back
Top Bottom