Mishahara ya April tayari, hakika mama anaupiga mwingi

Mishahara ya April tayari, hakika mama anaupiga mwingi

Hakika mama amesikia kilio cha watumishi kwa kuwalipa mshahara mapema kabla ya sikukukuu ya eid, ama kwa hakika mama anaupiga mwingi.

Watumishi tumieni vizuri mishahara yenu na nawatakia waislamu wote sikukuu njema ya eid el fitri.
Wanaonidai njoeni sasa
 
Pasaka ilikuwa tar 9 so ulitaka mshahara utoke tar 8?
Xmass mshahara unatoka kabla ya ya tar 23. Acha chuki
Serikali haina dini haipaswi kufanya maamuzi kwa misukumo ya kidini. Tatizo la kuwa na viongozi dhaifu kama hawa wa sasa
 
Kwamba bila kulipwa mishahara Eid haiendi? Basi mna maisha magumu sana!
 
Back
Top Bottom