we ulitaka utolewe tarehe ngapi ili usiishe? Hao watumishi mzunguko wao wa siku 30 umeshafika ilikuwa uwe tar 22 ila nafikiri kwasababu ya Idd umewahi siku 2. Sasa we ulitaka mtu asisherehekee sikukuu yake kisa siku 2 na mshahara ni wa kwake? Wache watu waishi style zao wanazojua we ishi za kwakoIkifika tar 2 mshahara umeisha unaanza kukopa dukani kwa mangi
Kuna ubaya kukopa?Ikifika tar 2 mshahara umeisha unaanza kukopa dukani kwa mangi
Kwani kukopa ni tatizo? Mbona serikali inakopa sembuse watumishi! Acha wivu wa kitoto wewe.Ikifika tar 2 mshahara umeisha unaanza kukopa dukani kwa mangi
Pesa zote alizonazo bado unataka na zanguAngalia tuone tunautumiaje wote eid[emoji36]( jokes)
Mkopo wa serikali unafananisha na mkopo wa kajamba nani kama wako?Kwani kukopa ni tatizo? Mbona serikali inakopa sembuse watumishi! Acha wivu wa kitoto wewe.
Ukiona sikukuu unasherekea kwa kutegemea pesa ya mshahara kaa ujitafakari upyawe ulitaka utolewe tarehe ngapi ili usiishe? Hao watumishi mzunguko wao wa siku 30 umeshafika ilikuwa uwe tar 22 ila nafikiri kwasababu ya Idd umewahi siku 2. Sasa we ulitaka mtu asisherehekee sikukuu yake kisa siku 2 na mshahara ni wa kwake? Wache watu waishi style zao wanazojua we ishi za kwako
Mkuu ungeandika hii kwa herufi kubwa.....Ukiona sikukuu unasherekea kwa kutegemea pesa ya mshahara kaa ujitafakari upya
Anaupiga mwingi au ni msukumo wa Udini, mbona pasaka na krismas haikuwa hivyo?Hakika mama amesikia kilio cha watumishi kwa kuwalipa mshahara mapema kabla ya sikukukuu ya eid, ama kwa hakika mama anaupiga mwingi.
Watumishi tumieni vizuri mishahara yenu na nawatakia waislamu wote sikukuu njema ya eid el fitri.
Kuna kikundi kinaandaa maandamano kumpongeza mama keshoHakika mama amesikia kilio cha watumishi kwa kuwalipa mshahara mapema kabla ya sikukukuu ya eid, ama kwa hakika mama anaupiga mwingi.
Watumishi tumieni vizuri mishahara yenu na nawatakia waislamu wote sikukuu njema ya eid el fitri.
Bilioni 6 zitatumika kwenye maandalizi.Kuna kikundi kinaandaa maandamano kumpongeza mama kesho
VIMBAAAAAAAAA!Islamic state
Pasaka ilikuwa tar 9 so ulitaka mshahara utoke tar 8?A
Anaupiga mwingi au ni msukumo wa Udini, mbona pasaka na krismas haikuwa hivyo?