GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Kwamba week tu ww unarud zako kula raha[emoji23][emoji23] dah.Msimu mzima ? Mimi sina makuu namaliza wiki yangu moja na kutundika daluga[emoji1787]
kwaiyo akipumua tuu mzigo unasomaUkitoa kodi mwamba analamba Tsh. 80,259,555,900 kwa mwaka
Tsh . 6,688,296,326. Kwa mwezi
Tsh 1,672,074,075. Kwa wiki
Tsh. 238,867,725. Kwa siku
Tsh. 9,952,821. Kwa saaa
Tsh 165,880. Kwa dakika
Tsh. 2764. Kwa sekunde.
Kila sekunde mchizi anaingiza buku 2+
Kuna watu wanalipwa jama๐ค๐ค
Acha tu yaani kwa huku kwetu ukilipwa milioni 5 kwa mwezi utaufikia mshahara wa wiki wa messi baada ya kufanya kazi kwa miaka 36......The world is not fair.
Huyu messi inaonekana anastaafu na utamu wakeMshahara wa Messi kwa wiki sawa na Sh. Bilioni 1.95. Mimi nacheza msimu mmoja nastaafu soka
Bila kumsahau na mpuuzi mwingine anaitwa Jerry TegeteNikiona hii mishahara wanayolipana ulaya,
Namkumbuka
mrisho ngassa aliekimbia majaribio mazoezini ulaya ili awahi mechi ya Simba &yanga[emoji23][emoji23]
Kwakweli,nmeamini UCHAWI UPO[emoji1787]
Mimi week linanitoshaMshahara wa Messi kwa wiki sawa na Sh. Bilioni 1.95. Mimi nacheza msimu mmoja nastaafu soka
Umeshajiuliza kwa nini watu wenye mapato/mishahara mikubwa hivyo hawajaacha baada ya mwaka?..Pia tambua ana miradi kede kede na bonus na mikataba mingine kama yote. Noma ukipigia mpka maingzo yake nje ya mshahara wa club c ndio noma sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa maingizo yake ya football kwa umri wake maana huu mchezo hauchezwi eti mpaka uzeeke. No anakatibia kuacha maana umri unapita hzo anazochuma co haba akimaliza mchezo tayari ni bilioneaUmeshajiuliza kwa nini watu wenye mapato/mishahara mikubwa hivyo hawajaacha baada ya mwaka?..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Etoo alikuwa akilipwa 90k kwa sekundeUkitoa kodi mwamba analamba Tsh. 80,259,555,900 kwa mwaka
Tsh . 6,688,296,326. Kwa mwezi
Tsh 1,672,074,075. Kwa wiki
Tsh. 238,867,725. Kwa siku
Tsh. 9,952,821. Kwa saaa
Tsh 165,880. Kwa dakika
Tsh. 2764. Kwa sekunde.
Kila sekunde mchizi anaingiza buku 2+
Kuna watu wanalipwa jama๐ค๐ค
Mimi sijasema ndogo.. Pengine hukuelewa muktadha wa hoja niliotoa..Sasa kwa maingizo yake ya football kwa umri wake maana huu mchezo hauchezwi eti mpaka uzeeke. No anakatibia kuacha maana umri unapita hzo anazochuma co haba akimaliza mchezo tayari ni bilionea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nimekuelewaMimi sijasema ndogo.. Pengine hukuelewa muktadha wa hoja niliotoa..
Ilikuwa ni katika kumjibu mdau aliyesema angecheza mwaka tu alafu Angeacha ..(kisa huo mshahara)..
Imekaa kinadharia sana..
Wakati kiuhalisia pengine angepata hiyo nafasi angetaka kucheza mpaka afie uwanjani..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Duuh balaa sijui sisi tumezaliwa mata.koni mwa dunia!!?Mshahara wa Messi kwa wiki sawa na Sh. Bilioni 1.95. Mimi nacheza msimu mmoja nastaafu soka
Kuna kipindi huwa nawaza siku sisi weusi wa Africa tukifa Sir God inabidi atuonee huruma manake haiwezekani tuteseke Duniani na Mbinguni.....Mshahara wa Wiki wa Messi ,kwa huku kwetu tangu mtu anaanza kazi na miaka 24 hadi anastaafu kwa mujibu wa sheria miaka 60 haufikii.
Kuna kipindi huwa nawaza siku sisi weusi wa Africa tukifa Sir God inabidi atuonee huruma manake haiwezekani tuteseke Duniani na Mbinguni.....