Mishahara ya PSG ni kufuru

Mishahara ya PSG ni kufuru

Hiyo misharaha sio harisi ni midogo.

Hizi state owned team zinalipa mishahara mikubwa sana. Bado na bonus za chini ya meza.
Hapo messi kwa wiki atakuwa analipwa karibu 1m
 
Ukitoa kodi mwamba analamba Tsh. 80,259,555,900 kwa mwaka
Tsh . 6,688,296,326. Kwa mwezi
Tsh 1,672,074,075. Kwa wiki
Tsh. 238,867,725. Kwa siku
Tsh. 9,952,821. Kwa saaa
Tsh 165,880. Kwa dakika
Tsh. 2764. Kwa sekunde.

Kila sekunde mchizi anaingiza buku 2+
Kuna watu wanalipwa jama🤔🤔
kwaiyo akipumua tuu mzigo unasoma
 
Je kama ana mzidi maaana mwamedi yupo above 1.5$b

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, Ukisema mo anamzidi messi umekusudia pesa za uwanjani na sio za nje sio! kwani messi hana miradi mingine inayomuungizia kipato mbali na mshahara anaolipwa!!!


Wahindi uwa siwaamini, huyo mo hagusi kwa baharesa, sema hapendi kuweka wazi utajiri wake kama anavofanya mhindi wenu.
 
Acha tu yaani kwa huku kwetu ukilipwa milioni 5 kwa mwezi utaufikia mshahara wa wiki wa messi baada ya kufanya kazi kwa miaka 36......The world is not fair.

Mshahara wa mwaka mmoja tu unamtosha aishi maisha yake yote nje ya mpira.

Ngoja tupige hesabu kidogo

Mshahara wa Messi wa siku ni 238M
Mshahara wa Manara 700k

Manara adi afikie mshahara wa messi wa siku, ingemulazimu aitumikie simba miaka 28 na kidogo, umri wa mtu aise 😁😁

Kama nitakuwa nimikosea mnirekebishe bandugu.
 
Poleni sana kwa kuamua kujipasua vichwa vyenu kwenye huu uzi, hiyo mishahara ya hao jamaa hata wazungu wenyewe huko kwao huwa wanaishangaa.

Note.

Nashangaa PSG wanakwepaje mtego wa FFP, wale waarabu nadhani kuna mtu/watu watakuwa wanamhonga huko UEFA.
 
Nikiona hii mishahara wanayolipana ulaya,

Namkumbuka
mrisho ngassa aliekimbia majaribio mazoezini ulaya ili awahi mechi ya Simba &yanga[emoji23][emoji23]

Kwakweli,nmeamini UCHAWI UPO[emoji1787]
Bila kumsahau na mpuuzi mwingine anaitwa Jerry Tegete

Nae alikacha trial nchi za scandinavia awahi gemu ya Simba na Yanga

Ngasa na Tegete wote hawa walikuwa Uto 😀
 
Umeshajiuliza kwa nini watu wenye mapato/mishahara mikubwa hivyo hawajaacha baada ya mwaka?..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Sasa kwa maingizo yake ya football kwa umri wake maana huu mchezo hauchezwi eti mpaka uzeeke. No anakatibia kuacha maana umri unapita hzo anazochuma co haba akimaliza mchezo tayari ni bilionea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitoa kodi mwamba analamba Tsh. 80,259,555,900 kwa mwaka
Tsh . 6,688,296,326. Kwa mwezi
Tsh 1,672,074,075. Kwa wiki
Tsh. 238,867,725. Kwa siku
Tsh. 9,952,821. Kwa saaa
Tsh 165,880. Kwa dakika
Tsh. 2764. Kwa sekunde.

Kila sekunde mchizi anaingiza buku 2+
Kuna watu wanalipwa jama🤔🤔
Etoo alikuwa akilipwa 90k kwa sekunde
 
Bado kila goli analofunga ana bonus yake
 
Sasa kwa maingizo yake ya football kwa umri wake maana huu mchezo hauchezwi eti mpaka uzeeke. No anakatibia kuacha maana umri unapita hzo anazochuma co haba akimaliza mchezo tayari ni bilionea

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijasema ndogo.. Pengine hukuelewa muktadha wa hoja niliotoa..
Ilikuwa ni katika kumjibu mdau aliyesema angecheza mwaka tu alafu Angeacha ..(kisa huo mshahara)..
Imekaa kinadharia sana..
Wakati kiuhalisia pengine angepata hiyo nafasi angetaka kucheza mpaka afie uwanjani..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Mimi sijasema ndogo.. Pengine hukuelewa muktadha wa hoja niliotoa..
Ilikuwa ni katika kumjibu mdau aliyesema angecheza mwaka tu alafu Angeacha ..(kisa huo mshahara)..
Imekaa kinadharia sana..
Wakati kiuhalisia pengine angepata hiyo nafasi angetaka kucheza mpaka afie uwanjani..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Ok nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara wa Messi kwa wiki sawa na Sh. Bilioni 1.95. Mimi nacheza msimu mmoja nastaafu soka
Duuh balaa sijui sisi tumezaliwa mata.koni mwa dunia!!?
Unasota toka ujana mpaka uzee na mvi kibao mshahara wa Messi wa wiki ukivunjwa mara tatu au nne hufiki.....****.mae
 
Kuna kipindi huwa nawaza siku sisi weusi wa Africa tukifa Sir God inabidi atuonee huruma manake haiwezekani tuteseke Duniani na Mbinguni.....

Acha tu mkuu yaani inasikitisha kabisa ,duniani uteseka hadi na mbinguni??? Yaani hata ukilipwa milioni 5 au 6 kwa mwezi kuufikia mshahara wa wiki wa messi inabidi upige kazi miaka 40....😀😀😀
 
Back
Top Bottom