Mishahara ya rais na wabunge yapunguzwa Kenya

Mishahara ya rais na wabunge yapunguzwa Kenya

Wakenya wanatupiga gap sana tu!! Kuanzia kwa watawala mpaka kwa sisi raia, wenzetu wako vizuri. Hapa kwetu jamaa mmoja alijitapa eti ataweka kadharani salary slip yake mpaka kesho hajawahi kusema tena!!


Unashawishika na kudanganyika kirahisi sana, dogo!
 
Kumbe wakenya mishahara ya viongozi wenyu inaanikwa hadharani?

Tz hatujui sisi.

Kwani ni nani anapanga mishahara ya wabunge na watumishi wa serikali huko? Haya ni mambo yanaamukiwa na tume ya mishahara na kujadiliwa bungeni huku, kwa hivyo iko wazi tu.
 
The issue was not abt salary. ..but u have to fight the corruption

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Yan mshara wa mbunge
Wa kenya kwe mwez
Ndo mshahara anaolipwa


Huyu dicteta anaejitahid
Kupanda mlima kitonga
Kwa mwez
 
Yan mshara wa mbunge
Wa kenya kwe mwez
Ndo mshahara anaolipwa


Huyu dicteta anaejitahid
Kupanda mlima kitonga
Kwa mwez
We acha tu jombaa,afadhali ilivyo huko.Usije ukasema hadi sasa hivi hufaham anayetunyonya damu sisi wakenya ni nani!
 
Hapa kwetu wakubwa ndo wanakula mema ya nchi hafu huku chini ndo wanabaniwa matumiz na kupunguziwa mshahara,

Ukitaka kuona kama hapa bongo ni ufisadi toa hoja ya kutoa posho za wabunge uone wanavyopinga vikali, lakn posho za walimu kutolewa wanaunga mkono! Bongo bdo sana!

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Mmmhh wapa ukiulizia mishahara unaoneana sio mzalendo

koromije using bashite
 
Kenya imepiga hatua kwa kila kitu Jambo la kufurahisha Mahakama zao zipo huru

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Duhh diwani anakula 3m? awamu ijayo ntagombea

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya hapo mmetufunika,hongera

17 PHD these are results
 
Watanzania inabid tuige kitu hapo

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom