Wakenya wanatupiga gap sana tu!! Kuanzia kwa watawala mpaka kwa sisi raia, wenzetu wako vizuri. Hapa kwetu jamaa mmoja alijitapa eti ataweka kadharani salary slip yake mpaka kesho hajawahi kusema tena!!
Kumbe wakenya mishahara ya viongozi wenyu inaanikwa hadharani?
Tz hatujui sisi.
Weee dada wacha ukweli usemweeee!! Huwezi kulinganisha na sisi misukule ya Lumumba!! Ni lini jamaa yetu alishatuwekea ile salary slip aliyosema?Unashawishika na kudanganyika kirahisi sana, dogo!
We acha tu jombaa,afadhali ilivyo huko.Usije ukasema hadi sasa hivi hufaham anayetunyonya damu sisi wakenya ni nani!Yan mshara wa mbunge
Wa kenya kwe mwez
Ndo mshahara anaolipwa
Huyu dicteta anaejitahid
Kupanda mlima kitonga
Kwa mwez