Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mizengo Pinda, hua anapokea milion 26 kwa mwezi. Source Zitto Kabwe alipokua Mpanda
 
TANAPA game ranger (elimu STD VII + JKT au mgambo) = 1.1m
 
the world is nof fair,kwa hali hii viongozi wetu wataendelea kuua na kufanya kila hila ili kuendelea kuwa madarakani. Kwa hali hii hakuna ambaye atakaye jiuzulu hata afanye madudu kiasi gani.
 
Pinda hata aibu anasema hazidi milioni sita labda akadanyange watoto.
 
Rais 1467342.35
Makamu 1364324.20
Waziri mkuu 1143269.10
Chanzo ni waziri wa mishahara na posho za waheshimiwa.
 
Kimsingi aliyosema Zitto ni ukweli hata ukichukua 6m plus chakula, malazi, ulinzi wa pinda na familia yake dar na kijijini, marupurupu inazidi 30m. Nngekua pinda ningejibu kwa stail nyingine maana CEO wa NMB au NSSF sidhani kama walipwa less than 10m ndiyo PM?
 
Mi navuta 21m Kwa Mwezi, chanzo ni cha uhakika Kwa sbb NI Mi mwenyewe. Na NI Mtumishi Wa Serikali za mtaa
 
Bak kama Clinton alikua akipokea $ 400,000 kwa mwaka basi inajenga picha kua wacheza mpira mishahara yao ni mkubwa zaidi ya hawa marais kwani Rinaldo anachukua si chini ya £ 200,000 kwa wiki
 
Bak kama Clinton alikua akipokea $ 400,000 kwa mwaka basi inajenga picha kua wacheza mpira mishahara yao ni mkubwa zaidi ya hawa marais kwani Rinaldo anachukua si chini ya £ 200,000 kwa wiki

Ila hawa jamaa hua hawatumii hata cent kutoka mfukon mwao..kila kitu tunalipa cc walipa kodi..ile mshahara ni bahshish tu
 
Swali zuri sana na nadhani Ikulu watakapo kamilisha site yao ni vizuri wakiziweka habari hizi wazi kwa wananchi kuziona... Waajiriwa wote wateuliwa na rais ni vizuri tukifahamu mishahara yao!

mishahara ni siri na sio kitu cha wazi!!
 
Mbunge analipwa milion 3 na laki 6, kwa mwezi, posho ya kukaa bungeni laki 2 kila siku, posho ya usafiri laki 1 na nusu kila siku, posho ya shughuli maalum za mbunge milion 7, raisi wa nchi yetu milion 32 kwa mwezi, waziri mkuu milion 26 kwa mwezi, hapo bado na posho
 
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?

Ndugu yangu hata ukijua sioni kama kutakuwa na umuhimu badala yake utaumiza kichwa bure.
 
Back
Top Bottom