Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Rais hana mshahara. Yeye kama yeye ni pesa na ndiyo maana hata taswira za marais huwekwa kwenye pesa. Utamlipaje mtu kwa pesa yake mwenyewe? Anakua tuu anahudumiwa kila kitu atakacho kiwe au kifanyike. Ukiona rais anajilimbikizia mali, basi huyo ni tamaa tuu ya mali. Kwanza mtu akishakuwa rais kamwe hawezi lala njaa au kupata sonona ya pesa mara baada ya ku staafu kwani mifumo iliyopo tuu inatambua ahudumiwe vipi hadi anaingia kaburini
 

Na kodi wanazokatwa ni kiasi gani ?? Au hawakatwi kodi ??
 
Nchi zilizoendelea kila kitu kiko wazi kabisaaaa tena kimewekwa kwenye katiba zao lakini sie wa tia maji tia maji ni balaa tupu.
 
Inabidi kwanza tuachane na utaratibu wa wabunge kujiidhinishia maslahi yao wenyewe; hii haiendani na mantiki yeyote ya kawaida, achalia mbali utawala bora!
Kitila Mkumbo njoo utueleze kama bado una msimamo huu au umeshabadilika? Na km umebadilika, ni kitu gani kimekubadilisha? Kuna haja ya kuwaamini wapinzani kama mnakuwa na lugha mbili tofauti kabla, na baada ya kuingia serikalini?

Mimi siku zote naamini Watz karibia wote tunafanana kwa kila kitu kuanzia ubinafsi, wizi, unafiki, uoga, uongo n.k Hivyo basi tukiwapa Chadema au chama kingine nchi hakuna jipya lolote! Zaidi huenda mambo yakawa mabaya zaidi
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ utaratibu wa hapa Afrika ni kwamba unapokula hutakiwi kuongea ongea, ni tabia mbaya. Hutakaa umuone Mhe. Kitila hapa jukwaani akiitetea hio hoja yake kwa sababu ni mnufaika wa mfumo huo.
 

Watanzania kupata maendeleo utakuwa ngumu sana. Kwahyo hapa unaona umeandika point. Marekani tu msharaha, posho na zawadi anazopata raisi zipo wazi wewe unaongea utumbo tupu!
 
Eeh, KWELI bwana - mabaya mno mno tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…