Mishahara ya Voda ipo vipi?

Mishahara ya Voda ipo vipi?

CEO anapata USD35,000 kwa mwezi. Kama anakwenda kuwa CEO, nampa hongera zake. Najua nafasi ya CEO iko wazi hapo Voda.
Duh!!!, Mshahara mnono kweli kweli,hapo kila siku nakuwa napiga Dompo na kuku wa kubanikwa akiwa amepakwa pilipili, watoto watasoma Shule Bomba, Wazazi wangu lazima waishi maisha mazuri yasiyo na stress.Najenga nyumba nzuri ya kisasa,na kununua gari zuri la kutembelea.
 
Karo tena? Karo za watoto analipiwa na Voda. Tatizo la pesa, ukishaipata unaona kawaida tu na mawazo yako yanabadilika. Unaweza nunua IST na watu wasikujue kuwa una mabilioni benki. Mimi kabla ya kupata kazi nilikuwa nawaza kuvaa. Baada ya kupata kazi, wala sina muda wa kupoteza na kuvaa vizuri (dressing up). Nina nguo za kawaida tu.
Duh!!!, Mshahara mnono kweli kweli,hapo kila siku nakuwa napiga Dompo na kuku wa kubanikwa akiwa amepakwa pilipili, watoto watasoma Shule Bomba, Wazazi wangu lazima waishi maisha mazuri yasiyo na stress.Najenga nyumba nzuri ya kisasa,na kununua gari zuri la kutembelea.
 
Karo tena? Karo za watoto analipiwa na Voda. Tatizo la pesa, ukishaipata unaona kawaida tu na mawazo yako yanabadilika. Unaweza nunua IST na watu wasikujue kuwa una mabilioni benki. Mimi kabla ya kupata kazi nilikuwa nawaza kuvaa. Baada ya kupata kazi, wala sina muda wa kuoteza na kuvaa vizuri (dressing up). Nina nguo za kawaida tu.
Dah!!!, Yaani limshahara lote hilo bado watoto unasomeshewa?!!!, Nimekumbuka kauli ya Hayati Magufuli kuwa kuna watu wanaishi km wako peponi vile.
 
Duh!!!, Mshahara mnono kweli kweli,hapo kila siku nakuwa napiga Dompo na kuku wa kubanikwa akiwa amepakwa pilipili, watoto watasoma Shule Bomba, Wazazi wangu lazima waishi maisha mazuri yasiyo na stress.Najenga nyumba nzuri ya kisasa,na kununua gari zuri la kutembelea.
Hapo kwenye dompo na kuku wa kubanikwa mkuu uminiua!
 
Wale waliokuwa wanapata mishahara minono wamestaafishwa mapema! Mnaoenda Sasa hivi mishahara imeshachakachuliwa.
 
Back
Top Bottom