Mbona huu mshahara ni wakawaida sana,uliza MD wa Coca Cola kwanza anakula ngapi,ndiyo utajua kwamba kumbe kuna watu wanaishi maisha na kuna watu wanasindikiza watu kuishi!
Mtu anakula 70M plus pocket money 5M daily, kwa ajiri ya chai na entertainment za wageni wake! Watoto wake wanasoma shule kwa gharama za ofisi,familia inatibiwa nje kwa gharama za ofisi,anapangiwa house,Kodi yake sio chini ya 20M per Month! Anapewa simu zile latest, vocha ni unlimited,yeye nikupiga tu simu! Kuna watu wanaishi bwana