nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Uko njema mno ...umeweka mahitaji yote ya mwanadamu..Duh!!!, Mshahara mnono kweli kweli,hapo kila siku nakuwa napiga Dompo na kuku wa kubanikwa akiwa amepakwa pilipili, watoto watasoma Shule Bomba, Wazazi wangu lazima waishi maisha mazuri yasiyo na stress.Najenga nyumba nzuri ya kisasa,na kununua gari zuri la kutembelea.
Yani hata Interview hajafanya mshaanza kuulizia salary daahKuna sista angu ameitwa kwenye interview, anatokea kwenye NGOs sasa hajui structure ya mishhara ya voda ipi vipi. Mwenye uzoefu. msaada
Duu...kweli binadamu hatuko sawaMbona huu mshahara ni wakawaida sana,uliza MD wa Coca Cola kwanza anakula ngapi,ndiyo utajua kwamba kumbe kuna watu wanaishi maisha na kuna watu wanasindikiza watu kuishi!
Mtu anakula 70M plus pocket money 5M daily, kwa ajiri ya chai na entertainment za wageni wake! Watoto wake wanasoma shule kwa gharama za ofisi,familia inatibiwa nje kwa gharama za ofisi,anapangiwa house,Kodi yake sio chini ya 20M per Month! Anapewa simu zile latest, vocha ni unlimited,yeye nikupiga tu simu! Kuna watu wanaishi bwana
Hahahaha we jamaa fala Sana [emoji23][emoji23][emoji23]Kama kazi yenyewe ni ile ya kusajili Sim-card bc mwambie mshahara ni bidii zake za kutembea tuu
Hamna hata raha sasa ela yake anafanyia nn ya mshahara?Mbona huu mshahara ni wakawaida sana,uliza MD wa Coca Cola kwanza anakula ngapi,ndiyo utajua kwamba kumbe kuna watu wanaishi maisha na kuna watu wanasindikiza watu kuishi!
Mtu anakula 70M plus pocket money 5M daily, kwa ajiri ya chai na entertainment za wageni wake! Watoto wake wanasoma shule kwa gharama za ofisi,familia inatibiwa nje kwa gharama za ofisi,anapangiwa house,Kodi yake sio chini ya 20M per Month! Anapewa simu zile latest, vocha ni unlimited,yeye nikupiga tu simu! Kuna watu wanaishi bwana
Hamna hata raha sasa ela yake anafanyia nn ya mshahara?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona huu mshahara ni wakawaida sana,uliza MD wa Coca Cola kwanza anakula ngapi,ndiyo utajua kwamba kumbe kuna watu wanaishi maisha na kuna watu wanasindikiza watu kuishi!
Mtu anakula 70M plus pocket money 5M daily, kwa ajiri ya chai na entertainment za wageni wake! Watoto wake wanasoma shule kwa gharama za ofisi,familia inatibiwa nje kwa gharama za ofisi,anapangiwa house,Kodi yake sio chini ya 20M per Month! Anapewa simu zile latest, vocha ni unlimited,yeye nikupiga tu simu! Kuna watu wanaishi bwana
Hy kazi sio poa, kuna jamaa alnikuta masikani akaniuliza 'hapa nipo maeneo gani' ikabidi nicheke moyonHahahaha we jamaa fala Sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app