Mishahara ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikatwe PAYE

Mishahara ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikatwe PAYE

Hata Mimi nashangaa kabisa.Ni kwa nini wabunge wasikatwe PAYE ? Hiyo Sheria inayosema wabunge wasikatwe Kodi Ni Sheria kandamizi.Sheria hii inahujumu uchumi wa inchi.Ifanyiwe marekebisho.Vinginevyo WAFUKUZWE KAZI YA UBUNGE ,!!
 
Huu ni uzalendo.

Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
Aliyekwambia salaries za wabunge hazina PAYE nani? Muwe mnafanya utafiti kidogo kabla ya kuanzisha mada kwenye jukwaa!
 
Huu ni uzalendo.

Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
Hata watumishi wa CCM mfano makatibu wa mikoa na wilaya hawalatwi PAYE. Itaanzia wapi wabunge wao kulipia?
 
Huu ni uzalendo.

Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
Nashangaa tunalijua hili la wabunge kuchukua mshiko wote bila makato lakini kelele hazijatosha kudai nao wachangie maendeleo ya nchi kwa kukatwa kodi!
 
Huu ni uzalendo.

Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.

Iwe #wabungewalipepaye
 
Huu ni uzalendo.

Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
Wabunge ni watu waovu sana..wanajifanya ni watu wanaomuogopa Mungu na wanawapenda watanzania kumbe hamna kitu, ni wabinafsi wa hali ya juu!! Yan wanaona sawa Mwalimu anaelipwa 400,000/= akatwe kodi, lakin wao wanaolipwa milioni 11 wasilipe hata sh.

kumi! Na bado wanamuongezea kodi hadi ya kwenye simu!! Mungu atawanyoosha kwa namna anavyoona inafaa, maana si wanajiona ni untouchables na sisi hatuna uwezo wowote wa kuwashugulikia. Tunamuachia Mungu.
 
Huu ni uzalendo.

Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
SIO IKATWE IPUNGUZWE NI ULAFI WA KODI ZA WANYONGE
 
.
IMG_20210617_213110.jpg
 
Wabunge ni watu waovu sana..wanajifanya ni watu wanaomuogopa Mungu na wanawapenda watanzania kumbe hamna kitu, ni wabinafsi wa hali ya juu!! Yan wanaona sawa Mwalimu anaelipwa 400,000/= akatwe kodi, lakin wao wanaolipwa milioni 11 wasilipe hata sh. kumi! Na bado wanamuongezea kodi hadi ya kwenye simu!! Mungu atawanyoosha kwa namna anavyoona inafaa, maana si wanajiona ni untouchables na sisi hatuna uwezo wowote wa kuwashugulikia. Tunamuachia Mungu.
Umeeandika kwa hisia sana mkuuu hahah
 
Hili swala la wabunge Ni agenda ya kitaifa uzalendo wanaouzungumza walitakiwa wauonyeshe kwa vitendo wakatwe Kodi kwenye mishahara yao.wakatwe na mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuweka usawa .
 
Hawatujali mkuu..kila kukicha kutulundikia mikodi mipya!
Ingependeza wasiteuliwe kwenye nafasi za uwaziri kwa sababu nimeona muda mwingi wamekua wanasahau kufanya majukumu yaliyowapeleka bungeni wanabaki kujipendekeza tu .
 
Back
Top Bottom