Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo suala la kuulizwa, kodi ni lazima kila mtanzania bila kujali mugao wa majukumu lzm alipe kodi na sheria zinazotungwa lzm zituhusu wote siyo kikundi kingine kibaki bila kutekeleza sheria ambayo wao wenyewe waliitunga hivyo wao wabunge lazima wawe wa kwanza kutekeleza sheria wanazotunga siyo kutungia wengine wao haziwahusu ndiyo maana sheria zingine ni za ajabu kabisa.Hawatakubali
Tatizo ni kuwa wao ndio wanaotunga sheria, na wamejitungia sheria kuwa wasikatwe hela zao. Sasa tufanyeje?siyo suala la kuulizwa, kodi ni lazima kila mtanzania bila kujali mugao wa majukumu lzm alipe kodi na sheria zinazotungwa lzm zituhusu wote siyo kikundi kingine kibaki bila kutekeleza sheria ambayo wao wenyewe waliitunga hivyo wao wabunge lazima wawe wa kwanza kutekeleza sheria wanazotunga siyo kutungia wengine wao haziwahusu ndiyo maana sheria zingine ni za ajabu kabisa.
Kila muamala wa malipo lazima ulipiwe kodi.Mshahara au Posho kote kata kodiUkisema hivyo watajipunguzia mishahara kwa 80% alafu wazidishe Posho 8000%
Wakwepa kodi hao. TRA mpo au vipi?Huu ni uzalendo.
Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
marupu rupu yana kodi ?Kila muamala wa malipo lazima ulipiwe kodi.Mshahara au Posho kote kata kodi
Hawatujali mkuu..kila kukicha kutulundikia mikodi mipya!
Thts why tunahitaji katiba mpya ili iweke bayana uwajibikaji wa wabunge kuchangia ukuaji wa uchumi kwa kulipa kodi ipasavyo na sio kuwalundikia wanyonge mikodi ya kila aina!marupu rupu yana kodi ?
Mkuu kuna loopholes nyingi sana za kukwepa kodi Hususan ukizingatia hawa ndio watunga sheria unategemea nini ? Dawa ingebidi kila mwaka wananchi ndio wakae kupitisha malipo ya hawa wakaa bure....
Kumbe.Ipo siku dagaa watakasirika.Uzalendo ni wa maskini
Kumbe.Ipo siku dagaa watakasirika.Uzalendo ni wa maskini
Tatizo ni kuwa wao ndio wanaotunga sheria, na wamejitungia sheria kuwa wasikatwe hela zao. Sasa tufanyeje?
Tukisema watunge sheria ya wao kukatwa kodi, hawatakubali maana wanalinda maslahi
sheria ya kuzuia wabunge kulipa kodi ni moja ya sheria mbaya kwani inawafanya wabunge kutoshiriki shughuri muhimu Sana kwenye Maendeleo ya nchi.
Wananchi wakikubali maslahi ya wabunge yatangulie maslahi ya taifa hili litakuwa tatizo lao.Tatizo ni kuwa wao ndio wanaotunga sheria, na wamejitungia sheria kuwa wasikatwe hela zao. Sasa tufanyeje?
Tukisema watunge sheria ya wao kukatwa kodi, hawatakubali maana wanalinda maslahi yao
Hiyo yote ni ujinga wetu sisi Wananchi tu wajinga sana yaani...Mbunge anapokaa bungeni ni moja ya kazi zake za kawaida. Siyo kazi ya ziada. Ni tofauti na mfanyakazi mwingine anapokaa kwenye kikao cha bodi ya shirika lisilo sehemu ya ofisi yake, au vikao vya nje ya saa za kazi.
Sasa kwa nini wajilipe posho ya kukaa? Na mshahara ni wa nini kama kukaa bungeni ni kazi ya ziada inayostahili posho ya kukaa?
Mbunge kulipwa posho ya kukaa bungeni ni sawa na mwalimu alipwe posho ya kuingia darasani. Ni wizi. Wakitaka wasilipwe mshahara na hapo posho ya kukaa itakuwa halali.
Ili kukata mirija, mbunge alipwe mshahara kama milioni 4 au 5 kwa mwezi, alipe PAYE, na posho ya kukaa alipwe kwa vikao visivyo vya bunge au vya bunge vilivyo nje ya saa za kazi.
Tumenyonywa vya kutosha na wabunge wetu. Tumegundua kikulacho kiko nguoni mwako. Acheni ubwanyeye wabunge wa Tanzania!
Umeambiwa hawakatwi- au kakwambia Kigogo maana nyie waumini wa kigogo hamtaki kujisumbua kutumia akili zenuHuu ni uzalendo.
Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.