Mishahara ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikatwe PAYE

Mishahara ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikatwe PAYE

Wakwepa kodi hao. TRA mpo au vipi?

Wabunge hawana tofauti na wakwepa Kodi wengine... Wanapaswa kulipa Kodi na posho yao kufutiliwa mbali maana malipo ya posho ya vikao ni batili ikiwa wanalipwa mshahara kwaajiri ya kukaa hivyo vikao vya bunge...

Wajipitishie kodi wenyewe, weeee hawa hawa kina Zungu?

Watapitisha tu kwa mujibu wa sheria za Kodi zinavyotaka...
 
inasikitisha sana na ina-disappoimt sana juhud za wazalendo tunaovuja jasho kutaftia familia zetu lakn kulitaftia Taifa lisonge mbele zaid huku tukuwataftia akina zungu ulaji mkubwaa kwa kigezo cha ubunge,zigo la makato ya laini limesimamiwa huku wao kukatwa Social Funds kama hawaijuii vilee na n halali yao watu hawa wa peponi ya dunian
 
Back
Top Bottom