Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Aliyekwambia salaries za wabunge hazina PAYE nani? Muwe mnafanya utafiti kidogo kabla ya kuanzisha mada kwenye jukwaa!Huu ni uzalendo.
Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
Hata watumishi wa CCM mfano makatibu wa mikoa na wilaya hawalatwi PAYE. Itaanzia wapi wabunge wao kulipia?Huu ni uzalendo.
Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
Nashangaa tunalijua hili la wabunge kuchukua mshiko wote bila makato lakini kelele hazijatosha kudai nao wachangie maendeleo ya nchi kwa kukatwa kodi!Huu ni uzalendo.
Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
Huu ni uzalendo.

Wabunge ni watu waovu sana..wanajifanya ni watu wanaomuogopa Mungu na wanawapenda watanzania kumbe hamna kitu, ni wabinafsi wa hali ya juu!! Yan wanaona sawa Mwalimu anaelipwa 400,000/= akatwe kodi, lakin wao wanaolipwa milioni 11 wasilipe hata sh.Huu ni uzalendo.
Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
SIO IKATWE IPUNGUZWE NI ULAFI WA KODI ZA WANYONGEHuu ni uzalendo.
Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
Umeeandika kwa hisia sana mkuuu hahahWabunge ni watu waovu sana..wanajifanya ni watu wanaomuogopa Mungu na wanawapenda watanzania kumbe hamna kitu, ni wabinafsi wa hali ya juu!! Yan wanaona sawa Mwalimu anaelipwa 400,000/= akatwe kodi, lakin wao wanaolipwa milioni 11 wasilipe hata sh. kumi! Na bado wanamuongezea kodi hadi ya kwenye simu!! Mungu atawanyoosha kwa namna anavyoona inafaa, maana si wanajiona ni untouchables na sisi hatuna uwezo wowote wa kuwashugulikia. Tunamuachia Mungu.
Hawatujali mkuu..kila kukicha kutulundikia mikodi mipya!Umeeandika kwa hisia sana mkuuu hahah
Ingependeza wasiteuliwe kwenye nafasi za uwaziri kwa sababu nimeona muda mwingi wamekua wanasahau kufanya majukumu yaliyowapeleka bungeni wanabaki kujipendekeza tu .Hawatujali mkuu..kila kukicha kutulundikia mikodi mipya!