Huna akili hata ndogo ya biashara na HR!huu ndio ujinga wa soka la tanzania. wachezaji wazawa ndo wanapata vijicent tu. maproo uchwara ndo wanapeta. kweli kichuya alipwe kale kahela? haipendezi
Huna akili hata ndogo ya biashara na HR!
Kichuya ndio huko kwenye first contract ya two years means hajaongeza terms za mshahara. Alupokuwa anasajiliwa kutokea mtibwa hakuwa star so hakuwa na bargaining power. Endapo akuongeza contract kuna high chance ya kufkisha 5M. Same kwa mzamiru na Mo.
Haruna kaja kama star na tyr alkuwa akipata masilahi makubwa akiwa yanga, same kwa Okwi na Bocco.
Unapo ulizia Yanga SC anza kuulizia Idadi ya Mataji, then unakuja kuulizia vinginevyo..?