Mishahara ya wachezaji Simba SC msimu 2017/18 - Niyonzima kinara.

Mishahara ya wachezaji Simba SC msimu 2017/18 - Niyonzima kinara.

Kuna kitu watu hawakijui kuhusu wachezaji na timu zao! Kuanzia kwenye usajili mpaka mishahara ya wachezaji ma star wa Simba na Yanga huwa wanagawana na baadhi ya viongozi wa hizo timu hasa wanaofanikisha usajili wao!

Hapo kwenye mshahara wa Niyonzima si ajabu pesa yake ni milioni 5 ama 6. Nyingine ni mali ya viongozi waliomsaidia kupata kazi hapo Simba!

Mchezo huu upo hadi kwa timu za mikoani!
Mmoja wa waathirika wa mchezo huu ni Mdogo wangu mwenyewe! Aliponieleza hili nilisita kumwelewa, lkn baada ya kunionyesha ushahidi wa miamala ya mgao aliotoa kwa viongozi wake nikabaki nashangaa!

Mwanzoni nilikuwa najiuliza, ukiacha wafadhili wa kihindi kwenye timu zetu, hawa viongozi waswahili huwa wanagombania nini kwenye hizi timu?

Kwa sasa nawaelewa! Ukiwa na mgao wako kwa wachezaji watatu tu huitaji kufanya kazi nyingine!

Ndo sababu inapotokea mchezaji flani haelewani na Kiongozi flani, hata kama ana kiwango uwanjani, atafukuzwa pasipo heshima!

Ukiwa mchezaji ukapingana na hii tabia katika hizi timu, kamwe hutoendelea kuzichezea!
 
Mbona ulaya wanaweka waz

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweka wazi na Clabu husika na sio mtu ambaye hana mahusiano yoyote na hiyo Clabu.
Mwabie aweke na ya Clabu yake ya Yanga.

Ameweka kwa nia mbaya ya kuleta mgogoro kwa wachezaji hasa wale wanaoisaidia sana timu hiku wanamshahara mdogo.
Amefanya hivyo baada ya kushindwa na mahakama zoezi la kumtumia mzee Kilomoni kuleta mgogoro Clabuni.

Ndio nia yake haswa.
 
Mishahara ya wachezaji wa yanga..

Kambwiri.....500,000
Ninja.............800000
Canavaro.....2.5m
Ajibu.............1.5m
Gadiel. . .... 1.2
Kumusoko.....2.6
Ngoma...........2.1
 
Duuhhh hela nying sanaa kuliko sisi tuliopo oficinee

shushushu VIP
Mmh acha dharau...kwani offisi Ni nn?na wao Moira ndo ofsi zao!!mm ofsi yangu shamba nnauhakika na Mimi nakuzidi..pole sana!!
 
Ni kweli kabisa, hata waliotoa siri ya mshahara wa Neymar Jr ni wapuuzi, yaani anapokea pound 500k wakati wenzake wanapikea pound 50k. Sijajua hii tabia waTanzania wameitoa wapi?
Umenichekesha mkuu! yaani jamaa alidhani Simba ndio klabu ya kwanza kuwekz wazi mishahara ya wachezaji wake..
 
Mishahara ya wachezaji wa yanga..

Kambwiri.....500,000
Ninja.............800000
Canavaro.....2.5m
Ajibu.............1.5m
Gadiel. . .... 1.2
Kumusoko.....2.6
Ngoma...........2.1
Umepanick brother. Hahahahah
 
Mtoa mada "demigod" ni mnazi wa kutupwa wa Yanga fc.

Huwa hazumgumzi kabisa habari mzuri za Simba sc.

Simwamini kama ana nia njema kuleta huu mchanganuo wa mishahara ya wachezaji wa Simba sc.

Hebu alete na mchanganuo wa timu yake pendwa Yanga fc

Kama ana nia njema.

Mkuu. Jana nilikuwa maeneo fulani kikazi nikielekea Dar. Kipindi narudi nilipata nafasi ya kuwa sambamba na mmoja wa viongozi wa Simba SC. Tulizungumzia mengi sana kuhusu ule mkutano wao wa Mwaka.

Mpaka naachana naye, nilifanikiwa kuondoka na hiko unako kiona hapo juu.
 
Dah! Na vurugu zote za kichua hawajamhurumia

young kilimanjaro
 
Kuna kitu watu hawakijui kuhusu wachezaji na timu zao! Kuanzia kwenye usajili mpaka mishahara ya wachezaji ma star wa Simba na Yanga huwa wanagawana na baadhi ya viongozi wa hizo timu hasa wanaofanikisha usajili wao!

Hapo kwenye mshahara wa Niyonzima si ajabu pesa yake ni milioni 5 ama 6. Nyingine ni mali ya viongozi waliomsaidia kupata kazi hapo Simba!

Mchezo huu upo hadi kwa timu za mikoani!
Mmoja wa waathirika wa mchezo huu ni Mdogo wangu mwenyewe! Aliponieleza hili nilisita kumwelewa, lkn baada ya kunionyesha ushahidi wa miamala ya mgao aliotoa kwa viongozi wake nikabaki nashangaa!

Mwanzoni nilikuwa najiuliza, ukiacha wafadhili wa kihindi kwenye timu zetu, hawa viongozi waswahili huwa wanagombania nini kwenye hizi timu?

Kwa sasa nawaelewa! Ukiwa na mgao wako kwa wachezaji watatu tu huitaji kufanya kazi nyingine!

Ndo sababu inapotokea mchezaji flani haelewani na Kiongozi flani, hata kama ana kiwango uwanjani, atafukuzwa pasipo heshima!

Ukiwa mchezaji ukapingana na hii tabia katika hizi timu, kamwe hutoendelea kuzichezea!
Sio kwenye mshahara tu hata pesa ya usajili..... ukisikia kapewa milioni 100 jua hapo ya kwake ni hamsini au sitini.!
 
Hii ndio wage bill ya Klabu ya Simba SC kwa msimu 2017/18. Takriban milioni 100 kila mwezi kutumika kulipa mishahara tu.

Kiungo wa zamani wa mabingwa wa kihistoria Dar es Salaam Young Africans SC aongoza.
View attachment 565300
Aish manula kwny makataba wake ilkua ml 3 iweje hapo iwe ml 5
 
Kama nilivyoeleza hapo juu, mtoa mada hana nia nzuri na Clabu ya Simba.

Mshahara ni Siri ya mwajiri na mwajiriwa.

Unauwekaje mshahara wa mtu hadharani bila ridhaa yake ?

Ametoa wapi ducomenti ya malipo ya wachezaji wa Simba sc.

Nia yake ilikuwa ninini ?

Kwa nini hajaweka mchanganuo wa malipo ya wachezaji wa Yanga fc

Haya ni matumizi mabaya ya mtandao

Huyo "demigod" anahusika pia kuwahonga akina Mzee Kilomoni na Bi Hindu ili kulela mgogora hapo Simba sc.

"demigod" hunamamlaka ya kuweka mtandaoni nyataka za siri za Simba sc

Kitendo ulichokifanya ni cha uharamia dhidi ya timu ya Simba sc.

Ipo siku utalipa hujuma zote unazoifanyia Simba sc

Pambana na Clabu yako ya Yanga fc.
Mbona unatokwa na povu hivyo? Kama ni siri huyo demigod amezitoa wapi na wakati unasema yeye ni mnazi wa yanga? Acha kulalama wafuate viongozi wa simba waulize wao kwann wameexpose taarifa za mishahara ya wachezaji wa simba, halafu usiwe kama mke mwenza kila anafanyiwa mke mwenzio nawewe ufanyiwe
 
Kumbe na wewe unatokwa na povu tena wakati mi nilikutegemea unishauri kwa hasira niliyoonesha.
Sasa hapa mshauri atakuwa nani tena ?
Naona mwenzangu umeingiza hadi mambo ya ukewenza hali ya kuwa hapa tunazungumzia mpira.
Jifunze kuwa mshauri mzuri na anayetumia busara.

Mimi nimekusikia Mkuu ila kaa ukijua kuwa maswala yashahara wa mtu ni kosa la kuyaweka hadharani bila ridhaa ya wahusika.

Kuokota au kupewa documenti hakuhalalishi matumizi mabaya ya dokumenti hiyo.

Angeweza kuwauliza wataalamu wa maswala ya utawala bora kama anaweza kuweka hadharani siri za wachezaji.
Ni Simba peke yenye mamlaka ya kufanya hivyo.
Mtu anapokosea lazima akosolewe lakini sio kufikia hali ya kumtukana kama ulivyofanya wewe.
Siku ingine uwe mkosoaji mwenye busara. Japo kidogo tu.
 
Back
Top Bottom