Benjamin mnyawa Sylver
New Member
- Jul 16, 2021
- 2
- 2
Elimu ni uwekezaji kama aina nyingine za uwekezaji hivyo muwekezaji anategemea kupata faidia baadae, ila kuta baadhi ya taasisi au mashirika, mtu ana shahada ila analipwa mshahara wa astashahada.
Au unakuta sehemu mtu ana elimu ya dalasa la saba ila analipwa mshahara zaidi ya mtu mwenye shahada. Kama taifa liangalie suala hili kiundani ili kuboresha na kurekebisha mahali hapa.
Pia, kuna baadhi ya watumishi na waajiliwa sehemu mbalimbali, wanafanya kazi ngumu na nzito ila wanapata ujira mdogo sana ukilinganisha na kundi lingine la watu ambao hufanya kazi nyepesi na kwa muda mchache na kupokea ujira mkubwaaaaaa sana.
Asanteni