Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanaume aliambiwa na muumba, uzae uwe na familia na mtakula kwa jasho lako. mwanamke akaambiwa utazaa kwa uchungu. Labour naingia mwenyewe kusukuma mtoto kwa machungu, halafu eti mshahara wangu niweke mezani..! nyie wababa vipi? mbona hamnazo? wanaume wa kileo kupenda dezo! hebu tuleeni sisi na watoto wetu kwa jasho kama mlivyotumwa, achaneni na mishahara yetu. nikisaidia ni mapenzi yangu lakini sio wajibu wangu na huna sababu ya kuuliza au kukwazika juu ya hilo.
kama ataki kushare salary, basi na wewe wako usitumia kila mtu ale mshaala wake
...................JINO..... kwa..........JINO bana......., ndiyo maisha ya Dot.COM
Anadamka asubuhi kwenda kibaruani, anachelewa kurudi kibaruani sababu ya foleni afu nisiujue mshahara wake na unatumikaje?....... I better marry my mom!
Othetwise akae nyumbani anilelee wanangu.... PERIOD!
duh . . . . .
Kuna wanawake wana properties za kufa mtu.
Jamani kuna malalamiko miongoni mwa wanaume waliooa wanawake wafanyakazi kuhusu mchango wa mishahara yao ktk matumizi ya familia. Nina marafiki wangu kadhaa (waliooa wake wafanyakazi) wote wanadai eti ukitaka kuishi kwa amani na mkeo usimuulize kuhusu mshahara wake. Nilishangaa sana kusikia hivi kwani mara nyingi huwa nasikia vijana wengi wanataka kuoa wasichana wenye kazi ili waweze kusaidia ktk kupunguza ukali wa maisha. Naombeni uzoefu wenu ktk hili jamani. Natanguliza samahani kama topic ilishaongelewa huko nyuma, ila ningetamani kuona hizo sred ili nisome maoni ya wadau!
Maisha kusaidiana na kujisaidia, hata kama huuoni mshahara wa mkeo ujue unamsaidia yeye mwenyewe kwa matumizi yake binafsi hivyo amekupunguzia gharama za shopping..
He jamani baba ni kichwa cha nyumba, mimi nasaidia tu palipopelea, mbona wakati hujanioa ulikuwa uantoa tu bila kuniambia nichangie bill, kwa kifupi mmetuzowesha wenyewe....[/QUOTE]
sister lkn we siuna macho na akili clazma uwambiwe kila kitu but inategea na edu. level ya mpenzi wako.
2nd kwaiyo we unaishi kwa mazsawa oeeeee......ya?, plz njb nitarudi ngoja niogeeeeeeeeeeeee
fuata ya maandiko uache kuchangia matumizi ya familia na kusomesha watoto kwa kushirikiana na mumeo ili uje ujionee vizuri mtakapo nyang'anyana hereni na mumeo matatizo yatakapomuelemea.jiangalie sana atashindwa kukuzalishia megawatts kwenye umeme wa grid ya taifa msongo wa kilovolts ulizozoea siku zote kwani bwawa la mtera litakuwa limeshajaa tope na mitambo ya kusukuma maji yaingie kwenye turbines itakuwa functionless na chakavu kabisamwanaume aliambiwa na muumba, uzae uwe na familia na mtakula kwa jasho lako. Mwanamke akaambiwa utazaa kwa uchungu. Labour naingia mwenyewe kusukuma mtoto kwa machungu, halafu eti mshahara wangu niweke mezani..! Nyie wababa vipi? Mbona hamnazo? Wanaume wa kileo kupenda dezo! Hebu tuleeni sisi na watoto wetu kwa jasho kama mlivyotumwa, achaneni na mishahara yetu. Nikisaidia ni mapenzi yangu lakini sio wajibu wangu na huna sababu ya kuuliza au kukwazika juu ya hilo.
yesu na maria!!!!!!!!!!!!!!nilimuoa yeye si kwa uzuri wake alio nao ingawa compatibility ni kigezo.Nilimuoa kwa kuwa yupo wise kifikra,utashi,na wengi ni wafanyakazi.Hivyo basi mapato ya mshahara wake kama hayatumiki kwenye dhana nzima ya kuendeleza familia atakuwa anachezea pesa yangu kama wazee wa mjengoni wanavyochezea pesa za walipakodi asepe tena achape mwendo kama treni ya umeme
Watoto je?Nao wataenda kula mshahara wa nan?!
Kama ni hivi, Kwa sisi ambao bado hatujaoa inabidi tuanze kuwazoesha tulio nao sasa. Kuanzia kesho ntamwambia demu wangu mshahara wake aweke mezani nimpangie matumizi.