Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

Zooluline

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
206
Reaction score
102
Wlimu tumezoea kupata salary tar 25 mpaka 27 ya mwezi, but mwezi huu mpaka leo 28 kesho 29 bado migodi mikavu kulikoni?

Kuna latest nimeipata kwa jamaa yangu toka babati eti kuna process inafanyika kuongeza mzigo ( mshahara kuingezeka).

Namuuliza afisa utumishi wangu ananambia bado hata fedha hazijatumwa wilayani. Kulikoni?

Mtujuze wenye latest tafadhali...........
 
Wlimu tumezoea kupata salary tar 25 mpaka 27 ya mwezi, but mwezi huu mpaka leo 28 kesho 29 bado migodi mikavu kulikoni???? Kuna latest nimeipata kwa jamaa yangu toka babati eti kuna process inafanyika kuongeza mzigo ( mshahara kuingezeka). Namuuliza afisa utumishi wangu ananambia bado hatafedha hazijatimwa wilayani. Kulikoni????? Mtujuze wenye latest tafadhali...........

pesa yote ilitumika kwa sherehe ya miaka 50 ya muungano Tsh 56bn jumlisha na zile za bunge la katiba 20bn na bunge la bajeti 30bn. subirini hadi tra wakusanye tena,
 
Majanga haya wamekula bata na kulipana posho nono kwenye sherehe za miaka hamsini ya muungano tabu tanapata ss..... Mungu awachome moto kabisa siku ya kiama.......
 
Afadhali isitoke unataka uende kingstone ee? Au kwa mama Ax?

hayo ya kingstone yalikuwa kipindi tupo university bana... Sa hv tushaoa kamshahara kanaisha kenye majukum.......
 
Watanzania tujifunze kuwekeza cyo kutegemea mshahara pekee ! Kuna mambo tunayafanyia kazi kwenye mfumo wa ulipaji mishahara hivyo vuteni subra kidogo! Kufikia jumatano mambo yatakua sawa
 
Hili sio walimu tu, wafanyakazi kada zingine za selikari pia bado mpaka leo. Ni shida.
 
Watanzania tujifunze kuwekeza cyo kutegemea mshahara pekee ! Kuna mambo tunayafanyia kazi kwenye mfumo wa ulipaji mishahara hivyo vuteni subra kidogo! Kufikia jumatano mambo yatakua sawa
Wewe umevurugwa sana....mshahara sio privilege
 
NMB MOBILE-Ndugu mteja wetu tumechoka na usumbufu wako wa kuuliza salio kila wakati.Tunakujulisha mshahara bado hivyo kuwa na subira kwa siku hizi tatu.Salio lako ni 0.00.
 
NMB MOBILE-Ndugu mteja wetu tumechoka na usumbufu wako wa kuuliza salio kila wakati.Tunakujulisha mshahara bado hivyo kuwa na subira kwa siku hizi tatu.Salio lako ni 0.00.
Hahahahahahhaaaaaaa
 
kama wewe ni mwalimu mpya tunaomba radhi. System zetu zimeharibika. Tumeagiza system mpya south africa. Nahisi ndani ya wiki mbili kuanzia leo 29april wale ajira mpya watakuwa tayari kupata mishahara yao.
 
NMB MOBILE-Ndugu mteja wetu tumechoka na usumbufu wako wa kuuliza salio kila wakati.Tunakujulisha mshahara bado hivyo kuwa na subira kwa siku hizi tatu.Salio lako ni 0.00.

ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!! Ujue nimetoka kuchabo sa hivi!!
 
Back
Top Bottom