Wlimu tumezoea kupata salary tar 25 mpaka 27 ya mwezi, but mwezi huu mpaka leo 28 kesho 29 bado migodi mikavu kulikoni???? Kuna latest nimeipata kwa jamaa yangu toka babati eti kuna process inafanyika kuongeza mzigo ( mshahara kuingezeka). Namuuliza afisa utumishi wangu ananambia bado hatafedha hazijatimwa wilayani. Kulikoni????? Mtujuze wenye latest tafadhali...........
niwashukuru halimashaur yetu wameshaachia,polen wadauHili sio walimu tu, wafanyakazi kada zingine za selikari pia bado mpaka leo. Ni shida.
Wewe umevurugwa sana....mshahara sio privilegeWatanzania tujifunze kuwekeza cyo kutegemea mshahara pekee ! Kuna mambo tunayafanyia kazi kwenye mfumo wa ulipaji mishahara hivyo vuteni subra kidogo! Kufikia jumatano mambo yatakua sawa
niwashukuru halimashaur yetu wameshaachia,polen wadau
HahahahahahhaaaaaaaNMB MOBILE-Ndugu mteja wetu tumechoka na usumbufu wako wa kuuliza salio kila wakati.Tunakujulisha mshahara bado hivyo kuwa na subira kwa siku hizi tatu.Salio lako ni 0.00.
niwashukuru halimashaur yetu wameshaachia,polen wadau
vipi kuhusu hizi tetesi za mzigo kuwa upgraded....umeona mabadiliko kwenye mpunga wako?
NMB MOBILE-Ndugu mteja wetu tumechoka na usumbufu wako wa kuuliza salio kila wakati.Tunakujulisha mshahara bado hivyo kuwa na subira kwa siku hizi tatu.Salio lako ni 0.00.