Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 464
- 393
Naombeni kufahamu mshahara anaolipwa mwalimu mwenye
*certificate
*diploma
na
*degree
*certificate
*diploma
na
*degree
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i.5kbinakupasa hufanye research ndugu maana
au kama vp walimu watoe data hapoo
mjadala ufungwe maana daah,
hii nakupa roughl au kwa zaman flan nilivyokuwa nafaha
*certificate = 250,000/=
*diploma = 300,000/=
*degree = 400,000/=
Kaka una akili utafikiri mchwa, ni kweli kabisaUalimu ni janga la Taifa
nipo mwka wa pili kazini diploma basic yangu ni 378000 take home ni 312000
dah serikali inawapunja walimu yaaani 312,000/-,yaani hata polisi formfour bila ujuzi amemzidi mwalimu kwa mapato lazma walimu wagome ili wasiendelee kundi lisilo na maslahinipo mwka wa pili kazini diploma basic yangu ni 378000 take home ni 312000
Hivi mkisema basic salary mnamaanisha gross package au?
Vp kuhusu house allowances, medical,airtime, transport allowances etc,
maana hizo allowances zina mchango wa kuongeza mshahara
Kaka una akili utafikiri mchwa, ni kweli kabisa