Mishahara ya walimu na viwango vya elimu yao(mwalimu)

Mishahara ya walimu na viwango vya elimu yao(mwalimu)

Inakupasa hufanye research ndugu maana

au kama vp walimu watoe data hapoo

mjadala ufungwe maana daah,

hii nakupa roughl au kwa zaman flan nilivyokuwa nafaha

*certificate = 250,000/=
*diploma = 300,000/=
*degree = 400,000/=
 
inakupasa hufanye research ndugu maana

au kama vp walimu watoe data hapoo

mjadala ufungwe maana daah,

hii nakupa roughl au kwa zaman flan nilivyokuwa nafaha

*certificate = 250,000/=
*diploma = 300,000/=
*degree = 400,000/=
i.5kb
degree ni 532,000= basic salary
 
nipo mwka wa pili kazini diploma basic yangu ni 378000 take home ni 312000
 
nipo mwka wa pili kazini diploma basic yangu ni 378000 take home ni 312000
dah serikali inawapunja walimu yaaani 312,000/-,yaani hata polisi formfour bila ujuzi amemzidi mwalimu kwa mapato lazma walimu wagome ili wasiendelee kundi lisilo na maslahi
 
Hivi mkisema basic salary mnamaanisha gross package au?
Vp kuhusu house allowances, medical,airtime, transport allowances etc,
maana hizo allowances zina mchango wa kuongeza mshahara
 
Hivi mkisema basic salary mnamaanisha gross package au?
Vp kuhusu house allowances, medical,airtime, transport allowances etc,
maana hizo allowances zina mchango wa kuongeza mshahara

Usijifanye sio mtanzania na si vizuri kuwakejeli waalimu, Mungu akikupa kikubwa mshukuru na uwatazame kwa jicho la huruma walio chini. Ki ukweli hawatendewi haki lkn watafanyaje? Walijaribu kufurukuta mkuu wa mbayuwayu kawabana mahakamani. Wanapaswa wajikomboe kwa kubadili system wasiendelee kuruhusu kanga, fulana na skaf ziwatese kwa miaka mi5 mingine.
 
Kaka una akili utafikiri mchwa, ni kweli kabisa

hivi kwa nini unafikiri walimu hawataki kuacha ualimu japokuwa mshahara mdogo kwa walimu wa sasa ni raha tupu unafanya mishe zako unavyotaka likizo unajipa mwenyewe ni kazi gani ya serikali au private una chance ya kuondoka bila ruhusa muda unaotaka na usiulizwe walimu wengi kwa nchi hii wana nyumba zao japokuwa mshahara mdogo na mikopo walimu siku hizi wengi wamejiajiri wanaendesha tax,bodaboda nani mwenye hasara na watoto wao wengi wanasoma shule nzuri tu
 
Back
Top Bottom