Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,272
- 1,510
Hiv huyu binti bado yuko ya GK??Diva the boss alihojiwa akasema analipia apartment tsh 2,000,000/- kwa mwezi, kwa mshahara gani?
Milioni 10 kwa mwezi au?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiv huyu binti bado yuko ya GK??Diva the boss alihojiwa akasema analipia apartment tsh 2,000,000/- kwa mwezi, kwa mshahara gani?
Milioni 10 kwa mwezi au?!!!
usishangae mkuu umbea skuizi ni ajila (shilawadu)Huwa nashangazwa post kama hii inapoletwa na mtoto wa kiume..,,,,!!!
Huwa najiuliza hivi anakuwa kweli hali gani kimawazo...!!?
Yaani kabisa mwanaume mwenye majukumu yako....unawezaje kuhangaishwa akili na jambo kama hili....!!!?
BTW
ITS A FREE WORLD.......
Kuna siku nilikua pale 777 club wakati huo ndo nimetoka darfull mission, nikakutana uso kwa uso na Aunt Ezekiel.... Nikajiuliza hivi huyu nikimtandika na $ 500 atachomoa kweli??? Baadae nikaamua kuondoka zangu tu kurudi home
Ndio nani huyo huko dar?Diva the boss alihojiwa akasema analipia apartment tsh 2,000,000/- kwa mwezi, kwa mshahara gani?
Milioni 10 kwa mwezi au?!!!