Mishahara ya watumishi wa umma inapaswa ifanyiwe mapitio, haiakisi uhalisia wa maisha ya sasa

Mshara unapanda karibu kila mwaka, haitangaZwi ili wafanya biashara wasipandishe bidhaa.
Wafanyakazi wa serikali wana marupurupu, wana nyumba, wana likizo zinalipwa, wana simu za bure na vocha bado hawaridhiki.
Hii ndio roho ya kwanini,wewe kamwe sio mtumishi wa umma ndio maana unaandika huu utumbo.
 
Lakini,ni watu nadhifu.Hawana baya.
 
Hii ndio roho ya kwanini,wewe kamwe sio mtumishi wa umma ndio maana unaandika huu utumbo.
mimi nakula mshahara wa UMMA na naona siutendei haki, tunalipwa posho hata kikao cha kujadili kitasa cha elfu 10 posho elfu hamsini.
Nyumba na usafiri ninao wa umma.
Bado safari na likizo nalipiwa mimi na watoto wangu.
 
Nchi iliyojaa ubinafsi...undugu..rushwa...ukanda rushwa..
Andika maumivu.

Saivi kila mtu anawaza aibe aende
 
Utumishi wa umma ni usenge na hali hii imefika hapa kwa sababu ya ufisadi na ymalYa wa miCCM
 
Sijui unamaanisha nini ila binafsi kazi zangu za site haswa so hela ya kazi isipotoka nikawa sijapata safari unataka nisi chart?
Ukiona idara unayofanya kazi mshahara mdogo tambua wewe ni mtoa huduma huingizii chochote serikali unataka tukupe mshahara mkubwa kwa kipi mbona siye

TRA
TPA
TANESCO
TANAPA
Kwanini hatulalamiki tunaingizia serikali mapato kwaiyo inatujali sasa wewe mtendaji kata, afisa mifugo, mwalimu wa stadi za kazi unataka mshahara mkubwa wa nini kwa kipato kipi unachozalisha ebu muacheni mama afanye kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…