Mishahara ya watumishi wa umma inapaswa ifanyiwe mapitio, haiakisi uhalisia wa maisha ya sasa

Mshahara fixed maana yake hakuna increment wala daraja mkuu??
Anaweza Kupanda Daraja ila Hakuna Ongezeko la Mwaka (Annual Increments)
Screenshot_20250227_190633_Adobe Acrobat.jpg

Kwa mfano TJS7 anaweza kupanda Daraja na Kuwa TJ8 nakadhalika Ila Akiwa Na FIXED salaries Means hapati ongezeko au Nyongeza ya mwaka zaidi ya Kupanda Daraja ambayo ni Haki yake..

Japo Kila ngazi ya Elimu Ina Mwisho wa Kupanda Daraja Pia..

Kwa mfano Daktari Bingwa Mwisho Ni TGHS K hapandi daraja Zaidi ya Hapo na Kama Akifika Level ambayo mshahara wake unasoma Fixed Basi Hapandi Daraja wala Kupata increment..

Vivo Hivyo MD au Daktari mwisho wa Kupanda Daraja ni TGHS I na zaidi ya Hapo Hapandi tena...And so on
Screenshot_20250227_191102_Adobe Acrobat.jpg
 
Annual increments zipo ila daraja hupandi tena, vyeo vitano utakuwa ushavimaliza
Nope kuna Kesi mbili Hapo Nimezielezea Hapo juuu kwenye #103..
Anaweza asipande na Daraja pia..
BUt Certain ni kwamba Akiwa Fixed kama Elimu yake Inaruhusu Kupanda Daraja atapanda Daraja Ila Increemnt itakuwa Haipandi..
 
Elimu ipi inaruhusu kupanda daraja baada ya kuwa fixed?
 
Ok!
Habari tena Zinn
Lets say Daktari kwa Level ya MD akifika TGHS I anakuwa Daktaru Mkuu Daraja la Kwanza au Kwa lugha ya Kiingereza Tunasema Principal Medical Officer I ...

Kwa Mujibu wa Scale Mshahara Huo ni 3.5Mil ambao Ni FIXED kwake yeye Kwakuwa Hataweza kupanda Tena Cheo kwa sababu cheo hicho ni cha Mwisho kwa Mujibu wa Elimu na Uzoefu wake kazini usiopungua Miaka 15 au Zaidi..

Sasa Vipi Akitaka Kupanda Daraja Na Kusogea Mbele..

Nilielezea mwanzo kwamba Its Either Sera ibadilike au Aende kusoma yaani Kuongeza Elimu..

Kwa Mfano MD aliyefika Mwisho wa SCALE kama Principal Medical officer I Anaweza kwenda Kusoma Master na Akajinasua Kutoka Daktari wa kawaida mpaka kwenda kwenye Daktari Bingwa na Kama Mshahara wake Utakuwa Unarudi nyuma abaada ya Kusoma..

Sera iko Clear Sana anaweza Kuomba Personal Salaries but again personal Salaries Doesnt Make the Room for increement pia..

Kwa Mfano MD aliyefika Principal MO I mshahara wake ni TGHS I akasoma Master Ya medicine yoyote (Ubingwa) ambayo Mshahara wake ni TGHS G maana Yake ni Kwamba Hawezi Kuridishwa Nyuma Tena kuanza G wakati Yuko I (Labda kama Akitaka) ila Huwa anatengenezewa Personal Salary ambayo inaendana na Uzoefu na Elimu yake..

Sijui kama Umenielewa au Kuna Mahali sijaeleweka
 
Nimeelewa vizuri sana, so from personal salary, ndo baadae ukomo utaongezeka mpaka kufikia ukomo wa specialist (4m) siyo?

Uko sahihi kabisa..
But personal Salaries ina Sera zake pia na Misingi yake naweza Kusema Huwa ni favor ya Mwajiri kwa Kukupa Kama zawadi ya Kufanya kazi naye na Haukustahili kushushwa Mshahara kwahiyo huwa haina Level maalumu
 
Ahaa sawa kabisa
 
Ok!
Habari tena Zinn
Lets say Daktari kwa Level ya MD akifika TGHS I anakuwa Daktaru Mkuu Daraja la Kwanza au Kwa lugha ya Kiingereza Tunasema Principal Medical Officer I ...

Kwa Mujibu wa Scale Mshahara Huo ni 3.5Mil ambao Ni FIXED kwake yeye Kwakuwa Hataweza kupanda Tena Cheo kwa sababu cheo hicho ni cha Mwisho kwa Mujibu wa Elimu na Uzoefu wake kazini usiopungua Miaka 15 au Zaidi..

Sasa Vipi Akitaka Kupanda Daraja Na Kusogea Mbele..

Nilielezea mwanzo kwamba Its Either Sera ibadilike au Aende kusoma yaani Kuongeza Elimu..

Kwa Mfano MD aliyefika Mwisho wa SCALE kama Principal Medical officer I Anaweza kwenda Kusoma Master na Akajinasua Kutoka Daktari wa kawaida mpaka kwenda kwenye Daktari Bingwa na Kama Mshahara wake Utakuwa Unarudi nyuma abaada ya Kusoma..

Sera iko Clear Sana anaweza Kuomba Personal Salaries but again personal Salaries Doesnt Make the Room for increement pia..

Kwa Mfano MD aliyefika Principal MO I mshahara wake ni TGHS I akasoma Master Ya medicine yoyote (Ubingwa) ambayo Mshahara wake ni TGHS G maana Yake ni Kwamba Hawezi Kuridishwa Nyuma Tena kuanza G wakati Yuko I (Labda kama Akitaka) ila Huwa anatengenezewa Personal Salary ambayo inaendana na Uzoefu na Elimu yake..

Sijui kama Umenielewa au Kuna Mahali sijaeleweka
Mfano kwa level aliyonayo Dr janabi ya uproff nadhan atakuwa anakunja parefu
 
Asilimia 90 ya watumishi wa umma Tanzania ni wa daraja la kati, wengi ni walio na diploma. Mishahara ghafi yao ina range laki 6 mpaka laki 8.

Baada ya makato, wanaondoka na kama laki 5. Hapo ni kwa wale ambao hawana mikopo. Ukijumlisha mikopo (ambao wengi wanayo) utakuta mtumishi anaondoka na laki 2, 3. Ukiangalia salary slip ya mtumishi wa umma wa sasa unaweza usiamini hayo makato yaliyomo humo ndani.

Utumishi wa umma wa sasa si kama wa zamani. Zamani watumishi wa umma ndiyo walikuwa wanaonekana wana chochote kitu mtaani. Ila kwa sasa watumishi wa umma ndiyo wamegeuka wasio na chochote mitaani. Wengi wanaishi kwa msaada wa mkopo wa mangi.

Mtumishi wa umma wa sasa anashindwa pesa hadi na boda boda. Kama boda boda anaingiza mkwanja mrefu zaidi kumshinda mtumishi wa umma tunategemea nini kama nchi? Thamani ya utumishi wa umma inabidi ilindwe.

Kama hadhi ya utumishi wa umma haitalindwa, basi tusitegemee watumishi wa umma ku-deliver vile inavyotakiwa, na kwa sababu ya mishahara kiduchu tutegemee hizo ripoti za CAG zikiendelea kuwa chafu kwa ubadhirifu wa pesa za miradi.

Pamoja na mishahara kiduchu ila serikali ikaona iwawekee na kikokotoo kiduchu kwenye kiinua mgongo. Yani ni full mateso.

Kingine kinachotia hasira ni kwamba wanasiasa wao wamejiwekea mishahara minono, na marupurupu lukuki. Na wakistaafu wanachukua viinua mgongo vyao kama vilivyo tena on time.
Permanent and pensionable!!!!
 
Asilimia 90 ya watumishi wa umma Tanzania ni wa daraja la kati, wengi ni walio na diploma. Mishahara ghafi yao ina range laki 6 mpaka laki 8.

Baada ya makato, wanaondoka na kama laki 5. Hapo ni kwa wale ambao hawana mikopo. Ukijumlisha mikopo (ambao wengi wanayo) utakuta mtumishi anaondoka na laki 2, 3. Ukiangalia salary slip ya mtumishi wa umma wa sasa unaweza usiamini hayo makato yaliyomo humo ndani.

Utumishi wa umma wa sasa si kama wa zamani. Zamani watumishi wa umma ndiyo walikuwa wanaonekana wana chochote kitu mtaani. Ila kwa sasa watumishi wa umma ndiyo wamegeuka wasio na chochote mitaani. Wengi wanaishi kwa msaada wa mkopo wa mangi.
Sidhani kama kuna anayekuelewa kwakuwa
  1. Wabunge wenyewe ndiyo hao
  2. Viongozi wenyewe ndiyo hao wa conspicuous spending
 
Ukitaka kujua ni vipi hali ni mbaya acha hio kazi yako kama mtumishi wa UMMA uone ni wangapi wanaitaka hio..., Atleast wewe una guarantee ya Pension...

Kwahio badala ya kujiangalia wewe ni bora kurekebisha mfumo mzima ambao ukiangalia kwa jicho lingine wewe ni bora kuliko wengi

Upo paed? Gyna ama internal ama general surgeon
Yeah Supersoeciallist.. Japo Jina limekaa Kisiasa Sana maana Hakuna Aliyesuper zaidi ya Mwenzake lets Just Call Fellowship Specialist (Mimi napenda Kuita Hivi)..

Siku hizi wanaita Daktari Bingwa Mbobezi
 
😀😀wazee wa apnea of prematurity, safi sana nasi tutafika level hizo age bado inaruhusu na energy ya kutosh

😀😀wazee wa apnea of prematurity, safi sana nasi tutafika level hizo age bado inaruhusu na energy ya kutosha
Nenda hata mwakani, ukipiga Mmed unga na Super huko huko. Ukirudi we ni kupumua kidogo kisha unaenda PhD.
 
Back
Top Bottom