Ok!
Habari tena
Zinn
Lets say Daktari kwa Level ya MD akifika TGHS I anakuwa Daktaru Mkuu Daraja la Kwanza au Kwa lugha ya Kiingereza Tunasema Principal Medical Officer I ...
Kwa Mujibu wa Scale Mshahara Huo ni 3.5Mil ambao Ni FIXED kwake yeye Kwakuwa Hataweza kupanda Tena Cheo kwa sababu cheo hicho ni cha Mwisho kwa Mujibu wa Elimu na Uzoefu wake kazini usiopungua Miaka 15 au Zaidi..
Sasa Vipi Akitaka Kupanda Daraja Na Kusogea Mbele..
Nilielezea mwanzo kwamba Its Either Sera ibadilike au Aende kusoma yaani Kuongeza Elimu..
Kwa Mfano MD aliyefika Mwisho wa SCALE kama Principal Medical officer I Anaweza kwenda Kusoma Master na Akajinasua Kutoka Daktari wa kawaida mpaka kwenda kwenye Daktari Bingwa na Kama Mshahara wake Utakuwa Unarudi nyuma abaada ya Kusoma..
Sera iko Clear Sana anaweza Kuomba Personal Salaries but again personal Salaries Doesnt Make the Room for increement pia..
Kwa Mfano MD aliyefika Principal MO I mshahara wake ni TGHS I akasoma Master Ya medicine yoyote (Ubingwa) ambayo Mshahara wake ni TGHS G maana Yake ni Kwamba Hawezi Kuridishwa Nyuma Tena kuanza G wakati Yuko I (Labda kama Akitaka) ila Huwa anatengenezewa Personal Salary ambayo inaendana na Uzoefu na Elimu yake..
Sijui kama Umenielewa au Kuna Mahali sijaeleweka