Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za mabeberu zimeleta uhaba wa fedha kwenye mfuko. mliopata. Nimepita benki za NMB watu wamekaa nje wakisubiri kama watalipwa ndani ya muda wa kazi. Mungu atunusuru.