Mishahara ya watumishi wa umma mwezi huu wa 8 kulikoni

Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za mabeberu zimeleta uhaba wa fedha kwenye mfuko. mliopata. Nimepita benki za NMB watu wamekaa nje wakisubiri kama watalipwa ndani ya muda wa kazi. Mungu atunusuru.
Hawana Hela zimeishqa

Wamewalipa akina Nassoro Katuga na Majaji

Soo tulieni tuuu.
 
Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za mabeberu zimeleta uhaba wa fedha kwenye mfuko. mliopata. Nimepita benki za NMB watu wamekaa nje wakisubiri kama watalipwa ndani ya muda wa kazi. Mungu atunusuru.
Punguza njaa leo tarehe 22 unahangaika ma mshahara
 
Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za mabeberu zimeleta uhaba wa fedha kwenye mfuko. mliopata. Nimepita benki za NMB watu wamekaa nje wakisubiri kama watalipwa ndani ya muda wa kazi. Mungu atunusuru.
Tarehe 22 unataka ulipwe mshahara?
 
Salary is a trap
Usikariri mkuu. Inategemea. Wacheza mpira ulaya wanalipwa mishahara mizuri sana.

Kikubwa lipwa kwa kufanya kile unachokipenda. Kama unafanya kitu ili tu ulipwe na hukipendi, ni bora uachane nacho, ni trap na ni zaidi ya utumwa.
 
Acha kufananisha Ulaya na bara giza.

Kataa kubali salary ni trap kwenye bara giza.
 
Acha kufananisha Ulaya na bara gazi.
Fei Toto hayupo ulaya? Unaweza kumwambia yupo kwenye trap kwa sababu analipwa mshahara?

Vipi Rais, mawaziri na wabunge wapo kwenye Trap! Maana wanalipwa mishahara mizuri kisha ndio hao wanapata mtaji wa kufanya biashara kubwa bila stress.

Mshahara ni stepping stone ya mafanikio kama ukitumia vizuri, sio trap. Lipwa kwa kufanya unachokipenda hakika utakifanya kwa juhudi na utaona fursa nyingine ndani ya hicho.
 
Kuna kitu hukijui.
 
Back
Top Bottom