Mishahara ya watumishi wa umma mwezi huu wa 8 kulikoni

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za mabeberu zimeleta uhaba wa fedha kwenye mfuko. mliopata. Nimepita benki za NMB watu wamekaa nje wakisubiri kama watalipwa ndani ya muda wa kazi. Mungu atunusuru.
 
Hongera mtumishi wa umma
kusurvive huku mtaa Hadi tarehe nyingine ya mshahara ni YATAKA MOYO.
 
Wanaweza kuwapeni labda tu hawataki, mbona huwa wanakuwekeeni ikiwa sikukuu kama Idd au X-MAS? Pengine hawataki tu ila hawashindwi kukuwekeeni Sheikh
 
Ila watumishi tuache kulalamika siku zote tarehe 23 ndo ilikuwa tarehe ya mshahara kuna kipindi kwa bahati ikawa iningia 22 kumbe lile ndo kosa kuzoeshwa kwanini tusivumilie tu hio siku moja hata wakisema bado wa toe 24 bado nadhani range nzuri tu naelewa magumu bila hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…