Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?

Ufisadi.

Fuatilia mjadala wa wabunge kuhusu wizi wa pesa za uma hususan Sakata la Tegeta Escrow. Kama wayasemayo ni kweli basi ukiwa fisadi unatoboa fasta sana, maana mgao wa ile pesa ni kufuru kwa mujibu wa michango ya hoja za baadhi ya wabunge
 
Siasa. Inachukuliwa poa sana. Kama unaweza we ingia humo tu bila kujali chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…