Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?

Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?

Ufisadi.

Fuatilia mjadala wa wabunge kuhusu wizi wa pesa za uma hususan Sakata la Tegeta Escrow. Kama wayasemayo ni kweli basi ukiwa fisadi unatoboa fasta sana, maana mgao wa ile pesa ni kufuru kwa mujibu wa michango ya hoja za baadhi ya wabunge
Ila balaa lake ni baadae ukizeeka.
 
Huu mwaka huu, tutauza hadi sementi mbichi ili kujipatia kipato.
Acha tu ndugu yangu. Maana mishe zilizotajwa uko juu kuanzia kuuza vitumbua, maharage, fundi cherehani, bodaboda n.k wanaozifanya tunaishi nao mtaani hali zao tunazijua, hivi wangekua kweli wanapiga hizi figure zinazotajwa maendeleo yao si tungekua tunayaona.
 
Kila biashara inalipa ni vile utavyoifanya biashara yako improvement kiasi Fulani ili uweze kukopesheka mikopo na bank hakuna maendeleo yanayokuja bila kukopesheka na bank
 
Kila biashara inalipa ni vile utavyoifanya biashara yako improvement kiasi Fulani ili uweze kukopesheka mikopo na bank hakuna maendeleo yanayokuja bila kukopesheka na bank
Sikatai ndugu yangu tatizo ni namna zinavyoongelewa na motivesho spikazi, figures zinazotajwa haziendi na life la wana wanaopiga izo mishe.
 
Biashara ya kukopesha watu pesa
Kukopesha watu pesa inakubidi na wewe uwe na mtaji wa kutosha ili uweze kuhudumia Kila wakati maana wakati mwingine wakopaji hawaji kulipa,huwo muda wa kuwafatilia unatumia gharama,inakubidi uwe vizuri.
 
Back
Top Bottom