Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Kitu nimegundua ni kwamba hizi biashara za chini zinataka good management kuweza kuona tija yake na mahesabu mazuri. Shida zinafanywa na watu ambao hawajaenda shule na hawana business management skills. Na watu walioenda shule huwa wanaleta ufundi mwingi inakuwa ngumu kuzifanya matokeo yake hali inakuwa kama ilivyo sasa.Acha tu ndugu yangu. Maana mishe zilizotajwa uko juu kuanzia kuuza vitumbua, maharage, fundi cherehani, bodaboda n.k wanaozifanya tunaishi nao mtaani hali zao tunazijua, hivi wangekua kweli wanapiga hizi figure zinazotajwa maendeleo yao si tungekua tunayaona.