Kitu nimegundua ni kwamba hizi biashara za chini zinataka good management kuweza kuona tija yake na mahesabu mazuri. Shida zinafanywa na watu ambao hawajaenda shule na hawana business management skills. Na watu walioenda shule huwa wanaleta ufundi mwingi inakuwa ngumu kuzifanya matokeo yake hali inakuwa kama ilivyo sasa.Acha tu ndugu yangu. Maana mishe zilizotajwa uko juu kuanzia kuuza vitumbua, maharage, fundi cherehani, bodaboda n.k wanaozifanya tunaishi nao mtaani hali zao tunazijua, hivi wangekua kweli wanapiga hizi figure zinazotajwa maendeleo yao si tungekua tunayaona.
Dili mpya mjini.Kudate na mishangazi👐
Sure mkuu ukiweza kuchanganya vizuri elimu ya kitaa na elimu ya darasani kutoboa easy tuKitu nimegundua ni kwamba hizi biashara za chini zinataka good management kuweza kuona tija yake na mahesabu mazuri. Shida zinafanywa na watu ambao hawajaenda shule na hawana business management skills. Na watu walioenda shule huwa wanaleta ufundi mwingi inakuwa ngumu kuzifanya matokeo yake hali inakuwa kama ilivyo sasa.
Yes,mafanikio ni mchakato,huwezi toboa kwa miaka miwili au tatu lazima uwekeze,uwe na mipango dhabiti na ujitume kwa bidiiHakunaga kutoboa fasta maisha.
hata uuze tako uwe shoga bado kutoboa ni process. Hta uwe punda ubebe poda bado kutoboa ni process waulize akina Ngwair na Masogange.
Hata uwe freemason au utumie ndumba, is still a process
Ndio,tukiishi na mambo ya motivesheni huwezi fanya maendeleo coz kila kitu ukijaribu usipoona improvement unaachanayo,Sikatai ndugu yangu tatizo ni namna zinavyoongelewa na motivesho spikazi, figures zinazotajwa haziendi na life la wana wanaopiga izo mishe.
Pamoja na exposure pia inasaidia kufanya kazi kwa bidii,vilevile marafiki ulionao kama ni watu wa kujituma nawe pia itakutia moyo wa kufanya kazi ili muendaneSure mkuu ukiweza kuchanganya vizuri elimu ya kitaa na elimu ya darasani kutoboa easy tu
Yeah ngoja watu wapate mwongozo
Ongezea Wauza Mkaa kwa Vibaba Buku 2 kipimo Sahani utachagua unanunua Gesi au utapikia KuniGenge
I agree with youUfugaji wa nguruwe
Sahihi kuna wale jamaa pia wananunua chumvi bei yajumla then wanazungusha vijijini nakigariOngezea Wauza Mkaa kwa Vibaba Buku 2 kipimo Sahani utachagua unanunua Gesi au utapikia Kuni
Kumbe kijana una dharau kazi za watu. Kazi zote zinaweza kukupa hela
Mrembo nakupenda nataka nikuhonge meli au nikupe bandariYeah ngoja watu wapate mwongozo