Mishikaki ya 200 mnatiaga nini jamani ๐Ÿ˜‹wachoma mishikaki nipeni siri

Ejolisi

Member
Joined
Aug 26, 2022
Posts
57
Reaction score
87
Kuna hii mishikaki inauzwa Mida ya jioni 200 jamani ni mitamu sijui wanatiaga viungo gani nyie na ile pilipili yake ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜‚

Kuhusu suala la nyama me selewi ni nyama ya nini kuna watu wanasema ni ya mbwa mara paka jamani naomba tu kuwasilisha kama ni nyama ya viumbe hivi ni watamu kwa kweli ๐Ÿ‘Œniambieni ivo viungo please.


 
Nina pesa we acha tu,

Naweza kukulisha mishkaki mwaka mzima
Jumla ya gharama za kumlisha mishikaki kwaka mzima ipo kama ifuatavyo.
Week inasiku 7 = [200ร—7=1,400]
Mwezi mmoja unasiku 31 au 30=
[200ร—31=6,200]
Mwaka mmoja unasiku 365=
[200ร—365=73,000]
Hivyo basi gharama kuu ya kumlisha huyo Jamaa mishikaki mwaka mzima ni 73,000 tuuuu.kwahiyo hizi pesa unazosema unazo na unaweza kumlisha mishikaki mwaka mzima ni pesa ya mboga tuu mkuu
 
Hawezi shiba mmoja wa 200, piga hiyo 73000 mara 20 au 30
 
Umekula Msamvu? Kama ni hapo hiyo ya kenge
 
Hahahaaa..... Watu mna vituko.
 
Mh iyo mishikikaki nilikuwa na njaa sana siku hiyo nikawa natafuta cha kula nikaona mishakaki na ndizi posta hapo nikasema nikanunue nikauliza bei nikaambiwa 200
Duh nikastuka nikaondoka haraka sana sijawai kula na siwezi kula kwaza ni uchafu tu ule nasikia ni malonya lonya yanayo baki ng'ombe akichinjwa
 
Unavyoelezea jmn malonya lonya ndio nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ