Mishikaki ya 200 mnatiaga nini jamani 😋wachoma mishikaki nipeni siri

Nilijaribu kuonja nilitema haraka nyama gani laini kama mapafu asee
 


Mshalishwa mbwa na Nyau
 
Kwani kwa siku anakula mshikaki mmoja moja kama dawa?!
 
Kuna shida kwenye hii hesabu 😁😁😁
 
Maziwa ya mgando na soya sauce
 
Nyama ambazo wanatengeneza hizo mishikaki zinaitwa Salala, zinapatikana baada ya kuchuna ngozi ya ngo'ombe maana huwa zipo kwenye ngozi. Nyama yake ilivyo ni kama bapa hivi.Huwezi kuzipata Buchani lazima uende machinjioni.
Bei yake ni nafuu sio kama nyama ya kawaidia ndio maana hata mishikaki ya nyama hiyo ni nafuu.
Ukiacha hiyo mishikaki kwenye hivyo vijiwe unaweza kujipatia korodani za kuchoma za Ng'ombe, Nundu ya kuchoma ya Ng'ombe pamoja na Sabuufa ambayo ni mkusanyiko wa nyama nyingi zilizofungwa sehemu moja.
 
We jamaa fala sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asa ndio mpaka mahesabu duhhh
 
Sasa malonye lonye yanashida gani!?Na utumbo je!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…