Mishikaki ya Nemba: Maoni na Ushauri

Mishikaki ya Nemba: Maoni na Ushauri

Tangu 2020 iingie hakuna kitu nilichokiwaza ×nyingi sana kama hii Biashara, haipiti masaa 3 bila kuwaza mishikaki.

Hii Biashara ni utajiri mkubwa sana hata mtoa mada hajajua kivipi utajiri.

Yupo jamaa anatengeneza Million 6 kila mwezi ndio aliye ni Inspire.

Nilichojifunza Duniani kitu chochote kina pesa, itategemea “jinsi utavyokifanya tu”


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fafanua
 
Mkuu not jokes

Siwezi andika hapa kamwe, ukiona nimeandika kitu furani ambacho ninahitaji kukifanya basi hapo ujue kuna mambo mawili.

1)Nimekwama sehemu kukifanya nahitaji some sort of support so naandika kwakutaka Offer furani.

2)Hicho kitu kishaferi kwangu kukifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Funguka mkuu
 
Mkuu lengo langu ni kujua huyo anaeuza mishkaki 6m kwa mwezi

Kwani we unampango kwenda kuuza hapohapo anapouza hapo jiran

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala sio sehemu, hakuna sehemu yoyote Tz ambayo eti unaweza pata 6M kuuza MISHIKAKI, hata 800K ngumu kuipata hata iyo sehemu uoneshwe na malaika.

Ungeuliza anauzaje jamaa.
 
Wakuu wasaalam,

Poleni na changamoto ya baa la korona. Mimi ni mchoma mishikaki ya ng'ombe inayotokana na nyama ile ya juu ya tumbo, ile yenye nyuzi nyuzi ijulikanayo kama Nemba.

Kwa hapa nilipo Nemba moja inakost kati ya 8k-12k. Na ukiikata vizuri inatoa mishikaki kati ya 100-200
Ukipata ng'ombe aliyenona mishikaki ufika hata 250. Hivyo ukitoa mkaa, viungo ,mishikaki ya nyongeza na gharama zongine ndogo,faida ipo na ni uwa kati ya 5k-15k

Kwa nia ya kukuza biashara yangu ningependa kujuzwa ni wapi naweza pata nyama hii kwa bei ya chini ya 10k?

Niko tayari kuhamia hapo ili kufanya kazi.

Meatu,Simiyu.
Mshikaki mmoja unauza bei gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu 2020 iingie hakuna kitu nilichokiwaza ×nyingi sana kama hii Biashara, haipiti masaa 3 bila kuwaza mishikaki.

Hii Biashara ni utajiri mkubwa sana hata mtoa mada hajajua kivipi utajiri.

Yupo jamaa anatengeneza Million 6 kila mwezi ndio aliye ni Inspire.

Nilichojifunza Duniani kitu chochote kina pesa, itategemea “jinsi utavyokifanya tu”


Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo m6 alikuonyesha au alikusimulia
Uhondo wa ngoma ingia ucheze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom