guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
- Thread starter
-
- #21
Mkuu fafanuaTangu 2020 iingie hakuna kitu nilichokiwaza ×nyingi sana kama hii Biashara, haipiti masaa 3 bila kuwaza mishikaki.
Hii Biashara ni utajiri mkubwa sana hata mtoa mada hajajua kivipi utajiri.
Yupo jamaa anatengeneza Million 6 kila mwezi ndio aliye ni Inspire.
Nilichojifunza Duniani kitu chochote kina pesa, itategemea “jinsi utavyokifanya tu”
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu not jokes
Funguka mkuuMkuu not jokes
Siwezi andika hapa kamwe, ukiona nimeandika kitu furani ambacho ninahitaji kukifanya basi hapo ujue kuna mambo mawili.
1)Nimekwama sehemu kukifanya nahitaji some sort of support so naandika kwakutaka Offer furani.
2)Hicho kitu kishaferi kwangu kukifanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala sio sehemu, hakuna sehemu yoyote Tz ambayo eti unaweza pata 6M kuuza MISHIKAKI, hata 800K ngumu kuipata hata iyo sehemu uoneshwe na malaika.Mkuu lengo langu ni kujua huyo anaeuza mishkaki 6m kwa mwezi
Kwani we unampango kwenda kuuza hapohapo anapouza hapo jiran
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshikaki mmoja unauza bei gani mkuu?Wakuu wasaalam,
Poleni na changamoto ya baa la korona. Mimi ni mchoma mishikaki ya ng'ombe inayotokana na nyama ile ya juu ya tumbo, ile yenye nyuzi nyuzi ijulikanayo kama Nemba.
Kwa hapa nilipo Nemba moja inakost kati ya 8k-12k. Na ukiikata vizuri inatoa mishikaki kati ya 100-200
Ukipata ng'ombe aliyenona mishikaki ufika hata 250. Hivyo ukitoa mkaa, viungo ,mishikaki ya nyongeza na gharama zongine ndogo,faida ipo na ni uwa kati ya 5k-15k
Kwa nia ya kukuza biashara yangu ningependa kujuzwa ni wapi naweza pata nyama hii kwa bei ya chini ya 10k?
Niko tayari kuhamia hapo ili kufanya kazi.
Meatu,Simiyu.
Mia moja tu
Una roho ya yesu mwana wa masia 100 TzsMia moja tu
Nitaposti picha baadaye uoneUna roho ya yesu mwana wa masia 100 Tzs
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu watafunga maduka yao waje kuitafuta mishkaki kwa nguvu zoteHata miye ningependa kujua
Hiyo sh 100 sehemu nyingine ni kubwa sana,nilishawahi kuingia kwimba huko ndani ndani nyama kilo moja 3000 wakati mwanza mjini ni 6000.Una roho ya yesu mwana wa masia 100 Tzs
Uko sahihi mkuuHiyo sh 100 sehemu nyingine ni kubwa sana,nilishawahi kuingia kwimba huko ndani ndani nyama kilo moja 3000 wakati mwanza mjini ni 6000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka huyo mtu atakuwa na goli zaidi ya moja, otherwise no way!Mkuu lengo langu ni kujua huyo anaeuza mishkaki 6m kwa mwezi
Kwani we unampango kwenda kuuza hapohapo anapouza hapo jiran
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo m6 alikuonyesha au alikusimuliaTangu 2020 iingie hakuna kitu nilichokiwaza ×nyingi sana kama hii Biashara, haipiti masaa 3 bila kuwaza mishikaki.
Hii Biashara ni utajiri mkubwa sana hata mtoa mada hajajua kivipi utajiri.
Yupo jamaa anatengeneza Million 6 kila mwezi ndio aliye ni Inspire.
Nilichojifunza Duniani kitu chochote kina pesa, itategemea “jinsi utavyokifanya tu”
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hayo matumbo[emoji849][emoji849]Itakuwa labda ni
Maeneo ya Masaki na Oysterbay mkuu!
Ahahhh,kwanini mkuu
Alivosema K..nikajumlisha na NEMBE...nikacheka sanaK = Kilo = 1,000
AhhhahhAlivosema K..nikajumlisha na NEMBE...nikacheka sana