mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
huko mashariki ya mbali mbona hizo ni misosi yao mikubwa, maadam sio sumu wacha waendelee kujinoma :flypig:aisee inawezekana nimeigongagonga sana ukiweka na ile pilipili yao ya kutengeneza ukirudi ni maji meengi"mmh
Kuna miguu na vichwa vya kuku hapo ubungo,ni vitamu balaa!vimenisukuma sana hapo pamoja na mihogo ya kukaanga
Kuna miguu na vichwa vya kuku hapo ubungo,ni vitamu balaa!vimenisukuma sana hapo pamoja na mihogo ya kukaanga
Bila kusahau utumbo wa kuku lolest.. Mtamujeee??? Yamebaki manyoya tu kuuzwa!!!
hahaha!
Supu ya manyoya ipo kwa mfuga mbwa,lol
Hebu nielekeze aisee!!
Ukishindwa kusthimili na kupenda kula tu huenda ukala hata visivyofaa maana mji huo una mambo sana hasa nyama zakukuta barabarani ni hatari sana.
nasikia huwa ni vitamu hasa.......
ila hiyo bei mi ndo ilinidiscourge kuna mahala nilipita watoto wa shule wamejazana wanasubiria mishkaki yao
nyama zingine .za mbwa au paka so hakuna hasara .....
ase hzo nyama za mia nikiskia harufu yake huwa napagawa ni lazma nitafune tamu mno
Wakuu,huwa najiuliza kila siku,hii mishkaki [ya ng'ombe] inayo uzwa sh.100 maeneo mbalimbali ya dsm,wauzaji wanapata faida gani?
Maana ni vipande 5 vya nyama,tena vitam tu,
sasa kama kilo ya nyama ni sh.5000 hadi 6000,hawa wandugu wanafanya biashara ya aina gani?
Eeh mi nikiziona napenda harufu yake but kula sijawahi naziogopa.
wenzio wanaanza kupenda harufu kisha ndio wanaanza kula....
Mungu wangu sio nyama ya ng'ombe ile wale wanauza nyama yeyote ile iwe mbwa paka nk, na kama ni nyama ya ng'ombe huwa ni kibudu au nyama zile ambazo ni reject, usile tena zina madhara
hahaha!
Supu ya manyoya ipo kwa mfuga mbwa,lol