Mishkaki ya Tsh.100 Dar

Mishkaki ya Tsh.100 Dar

nasikia huwa ni vitamu hasa.......

ila hiyo bei mi ndo ilinidiscourge kuna mahala nilipita watoto wa shule wamejazana wanasubiria mishkaki yao

enzi zangu 2006-2008 wakati ikiuzwaa sh 50 nilikuwa mteja mkubwa sanaaaaa... sema mara ya mwisho nlkula pale bugurun rozana niliarisha haijapata kutokea tena. Ndipo nlipoacha
 
nasikia huwa ni vitamu hasa.......

ila hiyo bei mi ndo ilinidiscourge kuna mahala nilipita watoto wa shule wamejazana wanasubiria mishkaki yao

Yan mi nilifika pale,sikuulza bei,nikala mishkaki 5,nikajua buku mbili jero inanihusu,
kuulza nadaiwa ngapi,naambiwa Jero!
Ila ni mitam ucpme
 
enzi zangu 2006-2008 wakati ikiuzwaa sh 50 nilikuwa mteja mkubwa sanaaaaa... sema mara ya mwisho nlkula pale bugurun rozana niliarisha haijapata kutokea tena. Ndipo nlipoacha

halafu huko rosana ndio mingi sana..........kuna maeneo karibu na soon pale wanatengeneza

hiyo mishkaki na zile ndizi za kukaanga, usingeharisha hadi leo nahisi ungekuwa unakula tu
 
Kwavile nyama(chiuaua) inachomwa mda mrefu basi inakuwa poa kwa kula.
Yule mbwa wa police atakuwa na nyama tam mno...😊

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
hata MORO ipo sehemu moja katikati ya mji wanapaita wenyewe kwa BABA UBAYA ama MAISHA PLUS mshikaki sh.mia tu, nyama ya ng'ombe.
 
Kama ni hivi basi ni wachache sana ambao hatujala nyama ya mbwa....
 
Dah!comments zimefanya nicheke sana.Naona tumeishakula mbwa, paka, panya n.k sana bila kujijua.
 
aisee inawezekana nimeigongagonga sana ukiweka na ile pilipili yao ya kutengeneza ukirudi ni maji meengi"mmh
Mkuu acha tu, nimefikria mambo mengi sana, huko mtaani kuna mambo!!
 
Wakuu,huwa najiuliza kila siku,hii mishkaki [ya ng'ombe] inayo uzwa sh.100 maeneo mbalimbali ya dsm,wauzaji wanapata faida gani?
Maana ni vipande 5 vya nyama,tena vitam tu,
sasa kama kilo ya nyama ni sh.5000 hadi 6000,hawa wandugu wanafanya biashara ya aina gani?

Jomba faida na hasara waachie wao ndo wanajua wanavyo "kalkyuleit" we kamua nyama tu. Mie huwa kabla sijarudi kwangu Lumo huwa naipiga pale Buguruni chama then ndo naitafuta daladala iko wapi , siku nyingine unapewa na glasi ya juice ya ukwaju bure ushushie, hujajiuliza na zile stick wanazochomea mifagio inabaki salama kweli huko street.... hahahahaaa...
 
Ha ha ha!
Uuwii!
 
Maisha ndio yanapelekea kuwepo na madaraja haya,nahisi ubora upo wa kutosha sana
 
Back
Top Bottom