Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
nyau wale mkuu,hasa wanaoshinda masokoni!
kumbe tupo kama wachina tu hatujijui eeh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyau wale mkuu,hasa wanaoshinda masokoni!
teh...watu wazima wanakula usiku!nasikia huwa ni vitamu hasa.......
ila hiyo bei mi ndo ilinidiscourge kuna mahala nilipita watoto wa shule wamejazana wanasubiria mishkaki yao
teh...watu wazima wanakula usiku!
nasikia huwa ni vitamu hasa.......
ila hiyo bei mi ndo ilinidiscourge kuna mahala nilipita watoto wa shule wamejazana wanasubiria mishkaki yao
nasikia huwa ni vitamu hasa.......
ila hiyo bei mi ndo ilinidiscourge kuna mahala nilipita watoto wa shule wamejazana wanasubiria mishkaki yao
enzi zangu 2006-2008 wakati ikiuzwaa sh 50 nilikuwa mteja mkubwa sanaaaaa... sema mara ya mwisho nlkula pale bugurun rozana niliarisha haijapata kutokea tena. Ndipo nlipoacha
hata dom iko chang'ombe!sh 50 tu,mitamu hiyo balaa!hata MORO ipo sehemu moja katikati ya mji wanapaita wenyewe kwa BABA UBAYA ama MAISHA PLUS mshikaki sh.mia tu, nyama ya ng'ombe.
hata dom iko chang'ombe!sh 50 tu,mitamu hiyo balaa!
Dah!comments zimefanya nicheke sana.Naona tumeishakula mbwa, paka, panya n.k sana bila kujijua.
Mkuu acha tu, nimefikria mambo mengi sana, huko mtaani kuna mambo!!aisee inawezekana nimeigongagonga sana ukiweka na ile pilipili yao ya kutengeneza ukirudi ni maji meengi"mmh
Wakuu,huwa najiuliza kila siku,hii mishkaki [ya ng'ombe] inayo uzwa sh.100 maeneo mbalimbali ya dsm,wauzaji wanapata faida gani?
Maana ni vipande 5 vya nyama,tena vitam tu,
sasa kama kilo ya nyama ni sh.5000 hadi 6000,hawa wandugu wanafanya biashara ya aina gani?
Jomba faida na hasara waachie wao ndo wanajua wanavyo "kalkyuleit" we kamua nyama tu. Mie huwa kabla sijarudi kwangu Lumo huwa naipiga pale Buguruni chama then ndo naitafuta daladala iko wapi , siku nyingine unapewa na glasi ya juice ya ukwaju bure ushushie, hujajiuliza na zile stick wanazochomea mifagio inabaki salama kweli huko street.... hahahahaaa...
Unamaanisha kuwa wateja wakubwa wa mishikaki n wahehe!
Kwani kuna shida gani? We ka huli acha sio kutaja taja makabila ya watu