Misiba imeshika hatamu sababu kubwa zifuatazo chukua katahadhari

Misiba imeshika hatamu sababu kubwa zifuatazo chukua katahadhari

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy

1. Ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto.
2. Pressure hio ndo zaidi
3. Mahoma homa ya maini na figo yamekuwa mengi.
4. Uwizi
5. Ugomvi wa wivu wa kimapenzi.
 
Maisha ya Watanzania wa leo kila mmoja ana shida zake,hajui ashike ipi aache ipi wanafanya kuokota yoyote alimradi waonekane wanajaribu kuzitatua in short wengi wapo frustrated kama👇🏿👇🏿👇🏿
 
Pombe nyingi tunazokunywa vijana kwa kweli siyo salama, ndizo zinzoleta matatizo ya ini na figo kuhusu Pressure ndugu zangu tupatapo muda tufanye mazoezi hata ya kutembea tu mwili utoke jasho.
Hivi PB mtu amifuata lishe kwa maelekezo ya Dr na kufanya mazoezi inaisha kabisa na kuacha dawa?
 
Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy
1.ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto.
2.pressure hio ndo zaidi
3.mahoma homa ya maini na figo yamekuwa mengi.
4.uwizi
5.ugomvi wa wivu wa kimapenzi.
Ongezea na
1.Ulevi uliochanganyika na mastress mtu anajifanya yeye ndo bingwa wa Konyagi na K vant ananywea na juice ya ujwaju.
2.Afya ya akili kutokana na depression mtu anacommit suicide kibwege
 
Back
Top Bottom