Misiba imeshika hatamu sababu kubwa zifuatazo chukua katahadhari

Misiba imeshika hatamu sababu kubwa zifuatazo chukua katahadhari

LIFESTYLE ya wabongo wengi....
1.Konyagi/kvant/smart(kisungura)nk.
2.Shisha
3.Bangi
3.Kusaga Gomba(miraa)
4.Chips yai
6.Nyama choma(mbuzi)
7.Ngono zembe
Hapo kwenye chips yai na konyagi kutamaliza watu.
 
Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy

1. Ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto.
2. Pressure hio ndo zaidi
3. Mahoma homa ya maini na figo yamekuwa mengi.
4. Uwizi
5. Ugomvi wa wivu wa kimapenzi.
Why now na sio miezi kadhaa iliyopita ? Kwamba hayo hayakuwepo mwanzoni mwa mwaka au kabla haijashika hatamu? Najua ka Corona kalipita pita ila haka sio deadly na tumeshakazoea....
 

Nimeiona hii sehemu 👆🏻, Tuzingatie usalama wa afya kwenye maandalizi ya vyakula, Hiyo kutumia sponge kwenye chapati siku hizi imekua fashion kwenye migahawa yote, watu wanaangalia urahisi tuu bila kufikiria madhara,
Kuna hii ya mama ntilie wengi wakipiga ugali wanaweka kwenye mifuko ya nylon then wanaweka kwenye ndoo ya plastic ,afu ile ndo ya plastic inatumbukizwa kwenye sufuria kubwa (lenye maji) likiwa kwenye jiko la mkaa, Lengo ni kufanya ugali uendelee kuwa wa moto, Lakini hawafikirii kuhusu madhara yake

Note:
Unaweza ukawa makini kwa kuzingatia vyakula vyenye kuleta afya (nutrients) Lakini muandaaji kwa kutokua makini akakuangusha ukajikuta unapata madhara mengine ya kiafya, Mfano hizi restaurants za kisasa tunaenda kula tuu vyakula vizuri lakini hatujui maandalizi yake yakoje
 
Back
Top Bottom