Misiba imeshika hatamu sababu kubwa zifuatazo chukua katahadhari

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy

1. Ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto.
2. Pressure hio ndo zaidi
3. Mahoma homa ya maini na figo yamekuwa mengi.
4. Uwizi
5. Ugomvi wa wivu wa kimapenzi.
 
Maisha ya Watanzania wa leo kila mmoja ana shida zake,hajui ashike ipi aache ipi wanafanya kuokota yoyote alimradi waonekane wanajaribu kuzitatua in short wengi wapo frustrated kama๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
Your browser is not able to display this video.
 
Pombe nyingi tunazokunywa vijana kwa kweli siyo salama, ndizo zinzoleta matatizo ya ini na figo kuhusu Pressure ndugu zangu tupatapo muda tufanye mazoezi hata ya kutembea tu mwili utoke jasho.
Hivi PB mtu amifuata lishe kwa maelekezo ya Dr na kufanya mazoezi inaisha kabisa na kuacha dawa?
 
Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy
1.ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto.
2.pressure hio ndo zaidi
3.mahoma homa ya maini na figo yamekuwa mengi.
4.uwizi
5.ugomvi wa wivu wa kimapenzi.
Ongezea na
1.Ulevi uliochanganyika na mastress mtu anajifanya yeye ndo bingwa wa Konyagi na K vant ananywea na juice ya ujwaju.
2.Afya ya akili kutokana na depression mtu anacommit suicide kibwege
 
Maisha ya Watanzania wa leo kila mmoja ana shida zake,hajui ashike ipi aache ipi wengi wapo frustrated kama๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
View attachment 3041628
Huyu mwendazimu kanichekesha sana sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿป, sijui kawaza nini mpaka nyoka wa nyuma kagushi kakosa cha kumfanya๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ