Ikibidi yote, wenzetu wanathamini afya zao sana.Sasa watafunga mingapi maana mtu anaweza kuswali kila sala kwenye misikiti tofauti kwa siku moja, kuanzia alfajiri hadi usiku akawa katumia misikiti tofauti.
Ndio wanatakiwa wafanye hivyo wafunge misikiti yote kama kweli wanajali afya zao.Ikibidi yote,,wenzetu wanathamini afya zao sana
Wizara ya mambo ya kiislamu nchini Saudi Arabia,leo imeifunga misikiti mitano kwa muda kutoka mikoa mitatu tofauti baada ya kesi saba za virusi vya Corona kupatikana katika baadhi ya waumini, idadi ambayo inafikisha jumla ya misikiti iliyofungwa ndani ya siku 11 kufikia 92 ambapo 79 imeshafunguliwa baada ya kupulizwa madawa na kukamilika kwa hatua za kuhakikisha utayari wa za kiafya zipo katika hali inayotakiwa.
Chanzo: Wizara ya mambo ya kiislamu S.Arabia.
Jisaidie nami ntakusIdia[emoji16][emoji16][emoji16] wanasubiri Nini kumuomba Mungu was awaepushe na Hilo janga !?
Mkiambiwa dini Ni janja janja mnakataa
[emoji16][emoji16][emoji16] si - vitabu vyenu vinasema kuwa binaadamu Ni kiumbe dhaifu so huo uwezo wa kunisaidia wakati yeye ni dhaifu anautoa wapi?Jisaidie nami ntakusIdia
Hizo dawa zinazopuliziwa na watu wanarudi miskitini zinaonekana zinauwa virusi vya corona, kwa nini zisifanyiwe modifikesheni zikawa zinatumika kwenye kunywa? 😷 🥴Wizara ya mambo ya kiislamu nchini Saudi Arabia,leo imeifunga misikiti mitano kwa muda kutoka mikoa mitatu tofauti baada ya kesi saba za virusi vya Corona kupatikana katika baadhi ya waumini, idadi ambayo inafikisha jumla ya misikiti iliyofungwa ndani ya siku 11 kufikia 92 ambapo 79 imeshafunguliwa baada ya kupulizwa madawa na kukamilika kwa hatua za kuhakikisha utayari wa za kiafya zipo katika hali inayotakiwa.
Chanzo: Wizara ya mambo ya kiislamu S.Arabia.
Nipe nikuu[emoji16][emoji16][emoji16] si - vitabu vyenu vinasema kuwa binaadamu Ni kiumbe dhaifu so huo uwezo wa kunisaidia wakati yeye Ni dhaifu anautoa wapi !?
Zipo nyingi Sana just waitNipe nikuu
Dini ni zaidi ya kumuomba Mungu pale unapokuwa na shida,dini ni maisha hivyo si sehemu ya miujiza miujiza kama ambavyo labda unafikiri. Na hapo si kwamba hawamuombi Mungu,tatizo hata ukiambiwa shida fulani iliondoka kwa kumuomba Mungu utakataa utasema ni imani tu ila hapo hapo ukiona wana shida unasema mbona hawamuombi Mungu.[emoji16][emoji16][emoji16] wanasubiri Nini kumuomba Mungu was awaepushe na Hilo janga !?
Mkiambiwa dini Ni janja janja mnakataa
Umeanza kuwasema akina "HALELUYA"Wenzetu hawana njaa ya sadaka
Ila kwengine banaa
Ova
Dini ya kiislamu imefunza waumini wake kuchukua tahadhari. Panapo ibada na afya basi afya ya mtu hutangulizwa mwanzo.[emoji16][emoji16][emoji16] wanasubiri nini kumuomba Mungu was awaepushe na Hilo janga?
Mkiambiwa dini Ni janja janja mnakataa
Bado hai make sense wajua kwanini !?Dini ya kiislamu imefunza waumini wake kuchukua tahadhari. Panapo ibada na afya basi afya ya mtu hutangulizwa mwanzo.