tilmikha
JF-Expert Member
- Feb 27, 2013
- 496
- 604
- Thread starter
- #21
Kwani katika sayansi hakuna kipengele cha prevention and control Mkuu? Au hujui njia za kukabiliana na magonjwa ya mripuko?Bado hai make sense wajua kwanini !?
Huwa mnasema katika Qur'an Kuna mafundisho yote mpaka sayansi Sasa Kama hivyo ndivyo inakuwaje waislam mshindwe kuja na tiba kwanini msitumie hiyo Qur'an ambayo ndani yake' Ina mafunzo ya kisayansi kuiponya dunia kutofanya hivyo hauoni kwamba inadhihirisha wazi kuwa huwa mnatudanganya
Hujawahi hata kusikia prevention is better than cure?!