Hii ni moja tu ya story mlizoskia kuhusu kufungwa kwa miskiti huko,lakin msikiti mkubwa wa nchi hiyo ushawahi kufungwa,hijjah ilisitishwa na miskiti mingi kufungwa.Hi ni moja ya strategies ambazo zimekuwa zikiendelea toka hii pandemic ianze,na pia kuna plan in action ndo maana wanaweza ku react kama kufunga miskit michache mda wowote sababu wana monitor. Watu wanapimwa ndo maana kesi zinajulikana haraka. Nchi nyingi zinazojielewa na kushughulika makini na hii pandemic wana 'plan of action' ili kufuatilia maambukizi mapya au 'new strains', uk kwa mfano washawahi kufunga maeneo baada ya kugundulika south African strain baadae wakafungua,kwa hiyo walivofanya wa saudi ni 'veryyyyy normal' kipindi hiki.
Kwa kuongezea Kingdom of Saudi Arabia washaanza kutoa chanjo ya Pfizer kwa watu wake mda sasa na wanashirikiana na taasisi za kimataifa kupambana na janga hili.