Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Kwahyo corona imeletwa na Mungu au Shetani?Kama wakristo tutaruhusiwa kuchangia. Bible inasema Mungu analinda watu wake ila haijasema analinda watu. Watu wa Mungu ni wapi? Bible inasema ni wale wanaoshika maneno yake wakati wote. Sas Mungu watu wake naamin bado anawalinda mpaka kesho ukitaka kishuhidia acha dhambi is as simple as that. Kumbuka sodoma na gomora Loth alimuacha mke wake akageuka jiwe la chumvi kwa sababu ya ukaidi ndo iwe watu wenye dhambi leo hii.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kwamujibu wa hyo bible yko